Elections 2010 CHADEMA waliuza Ubungo 2005?

HIMO ONE

Senior Member
Joined
Sep 6, 2010
Posts
128
Reaction score
7
Wadau;kama dakika ishirini zilizopita nilikuwa napita maeneo ya mabibo nikakuta mkutano wa cuf ambapo ndugu mtatiro anahutubia pale na kilichonifanya nimpe dakika chache kwenye ratiba yangu ni kauli yake nanukuu ""john mnyika kwa kushirikiana na wachadema wenzake waliuza jimbo la ubungo mwaka 2005 kwa ccm (keenja)kwa sababu ya njaa zao,wananchi msimchague Mnyika""mwisho wa kunukuu.

Chadema kazi kwenu tafadhalini fafanueni hii
 
Wadau;kama dakika ishirini zilizopita nilikuwa napita maeneo ya mabibo nikakuta mkutano wa cuf ambapo ndugu mtatiro anahutubia pale na kilichonifanya nimpe dakika chache kwenye ratiba yangu ni kauli yake nanukuu ""john mnyika kwa kushirikiana na wachadema wenzake waliuza jimbo la ubungo mwaka 2005 kwa ccm (keenja)kwa sababu ya njaa zao,wananchi msimchague mnyika""mwisho wa kunukuu.chadema kazi kwenu tafadhalini fafanueni hi
Ukikutana na mtu mgeni usiyemjua njiani... mwanaume... akakuambia "Himo One... unajua mimi ndiye niliyelala na mama yako ndio ukazaliwa wewe? Mimi ndie babako mzazi... huyo unayeishi nae siye". Je utamwamini na kukimbia moja kwa moja kwa mama yako na kumwambia akufafanulie?
 
Wadau;kama dakika ishirini zilizopita nilikuwa napita maeneo ya mabibo nikakuta mkutano wa cuf ambapo ndugu mtatiro anahutubia pale na kilichonifanya nimpe dakika chache kwenye ratiba yangu ni kauli yake nanukuu ""john mnyika kwa kushirikiana na wachadema wenzake waliuza jimbo la ubungo mwaka 2005 kwa ccm (keenja)kwa sababu ya njaa zao,wananchi msimchague Mnyika""mwisho wa kunukuu.

Chadema kazi kwenu tafadhalini fafanueni hii
We can not relay on hear said.
 
Umepozi kama mwenzetu kumbe chui kwenye ngozi ya kondoo

Join Date Mon Sep 2010Posts 4
Thanks0
Thanked 1
Time in 1 Post 0
 
Mtatiro ni moja ya product za UDSM ninayemuamini sana kwa upambanaji kwa mantiki na hoja.

Alipobugi kwenye siasa ni sehemu moja tu: Kujiunga na CUF. Huo ni mwanzo mbaya kwa Mtatiro katika safari yake ya kisiasa. CUF ni mapandikizi wa CCM. CUF ni wadini kama CCM.

Fanya maamuzi magumu.

Anza na uchaguzi wa Mwaka huu 2010: Mchague Slaa kura Rais. Kura ya ubunge utaamua kama utajipigia mwenyewe au utampigia John Mnyika. Kazi kwako Julius Mtatiro.
 
Umepozi kama mwenzetu kumbe chui kwenye ngozi ya kondoo

Join Date Mon Sep 2010Posts 4
Thanks0
Thanked 1
Time in 1 Post 0

Unamaana gani ukisema mwenzetu ??? Maana nionavyo unawafanya watu wote humu JF ni mambutwai wa Chadema ,we vipi ,salama lakini ???
 
Mtatiro ni moja ya product za UDSM ninayemuamini sana kwa upambanaji kwa mantiki na hoja.

Alipobugi kwenye siasa ni sehemu moja tu: Kujiunga na CUF. Huo ni mwanzo mbaya kwa Mtatiro katika safari yake ya kisiasa. CUF ni mapandikizi wa CCM. CUF ni wadini kama CCM.

CUF udini, CCM udini, CHADEMA udini, chama gani chengine chenye udini???????????
 
Huyo mtatiro alikuwa chadema mwanzo ila uliza uambiwe kilichompeleka CUF ninini?, sio unasikiliza na kuamini mifereji ya maji machafu, Hakuna kitu kibaya kama Kuwa Mroho Wa madaraka kwakuwa unaweza hata kuvuruga utaratibu wa maisha yako kama mtatiro.
 
Wadau;kama dakika ishirini zilizopita nilikuwa napita maeneo ya mabibo nikakuta mkutano wa cuf ambapo ndugu mtatiro anahutubia pale na kilichonifanya nimpe dakika chache kwenye ratiba yangu ni kauli yake nanukuu ""john mnyika kwa kushirikiana na wachadema wenzake waliuza jimbo la ubungo mwaka 2005 kwa ccm (keenja)kwa sababu ya njaa zao,wananchi msimchague Mnyika""mwisho wa kunukuu.

Chadema kazi kwenu tafadhalini fafanueni hii
for sure we can't rely on hear say! hizo ndo siasa za CUF wanazozoweza kuchafuana tuu kwa uongo karibuni watasema na mengineyo ikiwa si mwenzetu!
 
The dreamer una post nyingi karibia mia nne lakini huna akili,nilifikiri hapa kila mtu ana haki ya kutoa mawazo yake ila wewe unapafanya hapa kama bilicanas?anza upya..himo one ana haki ya maoni hata kama ana post 1if otherwise jf mtueleze.kama mada inauma ijibu sio kwa hasira hapo sikueleweni chadema??
 
Turudi kwenye mada chadema waliibiwa kura na ccm na siyo kwamba waliuza ubunge huyo mtatiro basi na yeye alikula 10% inaonyesha mtatiro alikuwa dalali wao yeye alijuaje kama siyo ametumwa kwa kasi zaidi, ari zaidi.nguvu zaidi
 
ukweli ni upi sasa na nani anafahamu ukweli kamili wadau mbona mnakimbia mada??
 
Watu wenye akili ndogo tu ndiyo wanaweza kuamini kuwa Chadema waliuza jimbo, lakini kama Mtatiro amesema hivyo basi ndiyo anajimaliza mwenyewe. Jimbo la Ubungo ni jimbo la watua wanaoelewa sana na ndiyo jimbo la kwanza Tanzania kutoa Diwani kwa Upande wa upinzani. Kwa kwa hiyo hizo siasa za maji taka kama amesema kweli zitamtokea puani.
 
Mtatiroooooo,njoo ukuryani sijui unatokea jimbo gani ila dar utazeeka
 
Ukikutana na mtu mgeni usiyemjua njiani... mwanaume... akakuambia "Himo One... unajua mimi ndiye niliyelala na mama yako ndio ukazaliwa wewe? Mimi ndie babako mzazi... huyo unayeishi nae siye". Je utamwamini na kukimbia moja kwa moja kwa mama yako na kumwambia akufafanulie?

Swali nzuri sana mkuu,imetulia
 
Jaman hebu mwabarisheni mnyika ajue njia ya kuwakabiri hawa ccm b.
 
mti wenye matunda lazima urushiwe mawe kwa hiyo wana chadema wote lazima tuzohee kuzushiwa mambo
 
Back
Top Bottom