Chadema walivaa jezi za Simba katika mkutano wa Baraza kuu? Fred Vunjabei, tifafanulie

Chadema walivaa jezi za Simba katika mkutano wa Baraza kuu? Fred Vunjabei, tifafanulie

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Inasemekana Fred Vunjabei alikuwa na stoku maalum ya jezi kwa ajili ya mashabiki maalum wa Simba, lakini hazikuuzika vizuri msimu huu, hivyo Chadema walienda kwenye magodown yake na kuomba wauziwe kwa Mali kauli, lakini mpaka Leo hawajalipa!

FB_IMG_1652453310858.jpg
 
Mkuu si.kwa ubaya lakn nadhan chadema waliwah kukufila.had ukanya mbona umekuwa hvyo ?

Mlisema chadema imekufa lakn kutwa Unaitaja taja vyama vpo vingimkuu
 
Dah huu uzi umetulia balaa! Sina chama, lakini hawa jamaa mishe zao huwa zimeenda shule aisee.

Nitahakikisha naupata hata niuvalie ndani ya koti kazini kabisa!
 
Back
Top Bottom