chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 16,859 Reaction score 28,112 May 13, 2022 #1 Inasemekana Fred Vunjabei alikuwa na stoku maalum ya jezi kwa ajili ya mashabiki maalum wa Simba, lakini hazikuuzika vizuri msimu huu, hivyo Chadema walienda kwenye magodown yake na kuomba wauziwe kwa Mali kauli, lakini mpaka Leo hawajalipa!
Inasemekana Fred Vunjabei alikuwa na stoku maalum ya jezi kwa ajili ya mashabiki maalum wa Simba, lakini hazikuuzika vizuri msimu huu, hivyo Chadema walienda kwenye magodown yake na kuomba wauziwe kwa Mali kauli, lakini mpaka Leo hawajalipa!
Sa 7 mchana JF-Expert Member Joined Dec 30, 2018 Posts 5,214 Reaction score 10,276 May 13, 2022 #2 Mkuu simu yako itakua ni chongo
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 May 13, 2022 #3 Hii kamba kabisa yaani
Mzee Shirimaa JF-Expert Member Joined Sep 12, 2018 Posts 1,539 Reaction score 3,456 May 13, 2022 #4 Halima mdee umelewa posho ya leo
MTAZAMO JF-Expert Member Joined Feb 8, 2011 Posts 19,675 Reaction score 33,583 May 13, 2022 #5 Mbona poa tu [emoji123]
chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 16,859 Reaction score 28,112 May 13, 2022 Thread starter #6 Sa 7 mchana said: Mkuu simu yako itakua ni chongo Click to expand... Kwa nn mkuu
makedonia JF-Expert Member Joined Nov 17, 2014 Posts 4,171 Reaction score 3,461 May 13, 2022 #7 Chama cha HAKI hakiwezi kuvaa jezi za MAMBUMBUMBU Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Chama cha HAKI hakiwezi kuvaa jezi za MAMBUMBUMBU Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Peramiho yetu JF-Expert Member Joined May 25, 2018 Posts 5,303 Reaction score 14,983 May 13, 2022 #8 Mkuu si.kwa ubaya lakn nadhan chadema waliwah kukufila.had ukanya mbona umekuwa hvyo ? Mlisema chadema imekufa lakn kutwa Unaitaja taja vyama vpo vingimkuu
Mkuu si.kwa ubaya lakn nadhan chadema waliwah kukufila.had ukanya mbona umekuwa hvyo ? Mlisema chadema imekufa lakn kutwa Unaitaja taja vyama vpo vingimkuu
chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 16,859 Reaction score 28,112 May 13, 2022 Thread starter #9 road master said: Mataga mtaiga tuuu hakuna akili ya creativity Click to expand... Hakuna Cha kuiga
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 May 13, 2022 #10 Ngoja tuone...
Ibilisi JF-Expert Member Joined Jul 12, 2017 Posts 3,465 Reaction score 5,578 May 14, 2022 #11 Dah huu uzi umetulia balaa! Sina chama, lakini hawa jamaa mishe zao huwa zimeenda shule aisee. Nitahakikisha naupata hata niuvalie ndani ya koti kazini kabisa!
Dah huu uzi umetulia balaa! Sina chama, lakini hawa jamaa mishe zao huwa zimeenda shule aisee. Nitahakikisha naupata hata niuvalie ndani ya koti kazini kabisa!
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 May 14, 2022 #12 Tunasubiri CCM wavae za Yanga