Uchaguzi 2020 CHADEMA wamedhibitiwa mkoa wa Mbeya

Bongo flava na usafiri/nauli vitakuwepo?
 
Jana niliwakumbushia jinsi Lowassa alivyojaza Mbeya 2015
 
Kazi mnayo mwaka huu, hao waliohudhuria mkutano wa Lissu ndio wapiga kura wa Sugu, jiandae kuimeza hiyo Chloroquine ni chungu lakini ndio dawa.
Wakati wametoka mkoa mzima wa Mbeya? Kwa hiyo wapigakura wa Sugu ni mkoa wote wa Mbeya?
 
77UOTE="Elius W Ndabila, post: 36595534, member: 559723"]
NGUVU YA CHADEMA HAIPO TENA MBEYA, WATAPIGWA OCTOBER 28.


Na Elius Ndabila

Kuna watu jana baada ya Mh Tundu Lisu kufanya mkutano wake jijini Mbeya wamekuja na kauli kuwa Mbeya mjini ni ya CHADEMA. Bahati mbaya wamefanya utafiti ambao kisiasa ni inlogic. Kabla sijatoa hoja madhubuti ya kupinga tafiti hizi feki, ninaomba niwaeleze kuwa Mbeya mwaka huu CCM itashinda kwa kuwa mipango yao ilianza muda mrefu.

Kwa ufupi huwezi kuhalalisha uwingi wa watu waliokuwa wamejitokeza kumsikiliza TUNDU ANTIPAS MUGWHAI LISU kuwa unampatia uhalali kushinda Mh Sugu. Mkutano wa jana ulikuwa ni mkutano wa Mgombea Urais na si Mgombea Ubunge. Uwingi wa watu waliohudhuria jana tutaushindanisha na Uwingi wa watu watakaohudhuria mkutano wa JPM MBEYA. Hii itatupatia Matokeo ya Jumla kuwa nani ameujaza uwanja wa Ruanda Nzovwe. Hata hivyo historia inaonyesha Mkutano wa Lisu watu walijitokeza wachache ukilinganisha na idadi ya watu ambao waliwahi kukusanyika kipindi cha Mh Slaa na baadaye Mh Lowassa.

Mkutano atakao fanya Mh Sugu huo utakuwa mkutano wa Mbunge na utatupa mizani ya kupima stamina yake na mkutano atakao fanya Dkt Tulia atakapokuwa akizindua kampeni zake tr 12. Mkutano wa jana hauhusiki na kukubalika kwa Sugu Mbeya, bali ni mkutano ulioenda kushuhudia muujiza unaotembea(CDM wanasema hivyo).

Mh Dkt Tulia ambaye anabeba bendera ya CCM, kwanza yeye mwenyewe yupo vizuri kupambana na Sugu, lakini pia CCM imepania kushinda baada ya kubaini mambo kadhaa yaliyosababishwa kushindwa mihura miwili.

Ninauhakika JPM akija Mbeya ataujaza uwanja zaidi ya mara mbili ya wafuasi wa siasa waliompokea Tundu Lisu jana. Uwingi huu utachagizwa na kazi kubwa ambazo JPM amezifanya na ambazo zinampatia uhalali wa kushinda tena OCTOBER 28.
[/QUOTE]
Kuna siku CCM wataomba kazi chadema.
 
Mkuu bado unaandika kipande cha pili au ndio umemaliza? Maana nimesoma mpaka ulipokomea kuandika bado sijaziona hoja madhubuti.
 
Unabwabwaja tu utafikiri mtu anayeongea akiwa usingizini,kwani hukuusikia ule umati uliokuwa unakimbia mchakamchaka huku wakiimba pambio kuwa hawamtaki mama wa mikopo.

Wana Mbeya watakuwa wapumbavu sana kumchagua mtu anayewalaghai kwa kutoa rushwa na kuwahadaa na mikopo.Atachimbiwa kaburi la futi 10 na kuzikwa humo
 
Mimi nmepita jana pale mikutano yote ya Dr slaa na Lowassa nilikuwepo lakini jana watu hawakuwepo kama mkutano iliyopita naisi ata yeye sugu kashtuka Tulia anashinda Mbeya mapema kabisa
Tulia hawezi kupata hata 25% ya kura za Mbeya Mjini. Wale waliomipigia watu wapatao100,000 kura Sugu mwaka 2015 bado wapo na Sugu hajawakwaza.
 
Kamati ya kampeni za CDM kama haipo vizuri hivi

1) Tundu Lisu anaendaje kufanya kampeni Mbeya mapema hivi hata wabunge bado hawajazindua kampeni zao....
Ratiba ya maeneo ya kampeni wanapangiwa na tume tatizo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] noma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…