Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati wametoka mkoa mzima wa Mbeya? Kwa hiyo wapigakura wa Sugu ni mkoa wote wa Mbeya?Kazi mnayo mwaka huu, hao waliohudhuria mkutano wa Lissu ndio wapiga kura wa Sugu, jiandae kuimeza hiyo Chloroquine ni chungu lakini ndio dawa.
NGUVU YA CHADEMA HAIPO TENA MBEYA, WATAPIGWA OCTOBER 28.
Na Elius Ndabila
Kuna watu jana baada ya Mh Tundu Lisu kufanya mkutano wake jijini Mbeya wamekuja na kauli kuwa Mbeya mjini ni ya CHADEMA. Bahati mbaya wamefanya utafiti ambao kisiasa ni inlogic. Kabla sijatoa hoja madhubuti ya kupinga tafiti hizi feki, ninaomba niwaeleze kuwa Mbeya mwaka huu CCM itashinda kwa kuwa mipango yao ilianza muda mrefu....
Tulia hawezi kupata hata 25% ya kura za Mbeya Mjini. Wale waliomipigia watu wapatao100,000 kura Sugu mwaka 2015 bado wapo na Sugu hajawakwaza.Mimi nmepita jana pale mikutano yote ya Dr slaa na Lowassa nilikuwepo lakini jana watu hawakuwepo kama mkutano iliyopita naisi ata yeye sugu kashtuka Tulia anashinda Mbeya mapema kabisa
Ratiba ya maeneo ya kampeni wanapangiwa na tume tatizoKamati ya kampeni za CDM kama haipo vizuri hivi
1) Tundu Lisu anaendaje kufanya kampeni Mbeya mapema hivi hata wabunge bado hawajazindua kampeni zao....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] noma sanaNGUVU YA CHADEMA HAIPO TENA MBEYA, WATAPIGWA OCTOBER 28.
Na Elius Ndabila
Kuna watu jana baada ya Mh Tundu Lisu kufanya mkutano wake jijini Mbeya wamekuja na kauli kuwa Mbeya mjini ni ya CHADEMA. Bahati mbaya wamefanya utafiti ambao kisiasa ni inlogic. Kabla sijatoa hoja madhubuti ya kupinga tafiti hizi feki, ninaomba niwaeleze kuwa Mbeya mwaka huu CCM itashinda kwa kuwa mipango yao ilianza muda mrefu...