Kiukweli inasikitisha sana viongozi wa Chadema waliokuwa wanasubiriwa kwa hamu kubwa na wananchi wanakuja na sera za ajabu hili ni anguko kubwa na kwa sera hizi Chadema wajiandae kugombea ubunge na Udiwani tu lakini kamwe hawawezi kuchukua kiti cha uraisi wanapoteza muda.
Lakini Rais Samia Suluhu hana hiyana amefungua mikutano ya siasa waliyokua wanaililia kwa muda mrefu pia ameimarisha ulinzi na usalama sasa wanakuja nchini kwa amani kabisa lakini bahati mbaya hawana sera tena sisi watanzania tunasema tuko na Rais Samia Suluhu hadi 2030 maana kwa kipindi cha miaka 2 ameweza kuifungua nchi kila sekta hata vijana pia amewawezesha kiuchumi kupitia mikopo yenye masharti nafuu waweze kujiajiri, pia amewekeza kwenye kilimo vijana sasa wanapewa mafunzo ya kilimo pamoja na mashamba hajakomea hapo tu anahakikisha vijana wanapata elimu ya ufundi ili wapate uwezo wa kujiajiri na kuajiriwa.
Kwaiyo Lema asitudanganye kuwa wananchi wote wanatakiwa kuajiriwa na serikali nchi kama hiyo haijawai kutokea kwenye uso wa dunia hata marekani kuna watu wamejiajiri tena sisi watanzania tunabahati Rais wetu anawekeka mazingira wezeshi ya sisi vijana kujiajiri.