johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kuna ujanja fulani unafanywa na CHADEMA Ili waendelee kutrend hata baada ya uchaguzi wao
Kwa mfano mwanzoni tu mwa Mkutano wa Nishati wa Dunia Katibu mkuu wa CHADEMA Mhe. mnyika akaitisha Press, Watu wakaanza kumjadili Mnyika na CHADEMA badala ya Kufuatilia Mjadala wa mkutano
Leo Mkutano umeisha Tundu Lissu katangaza Kesho anaripoti ofisini Sasa Mjadala utakuwa Tundu Lissu na CHADEMA.
Baada ya hapo Tundu Lissu ataanza ziara ya mikoani kujitambulisha na Media zote zitaelekea huko Ili ziuze
CCM inatakiwa Kufanya kitu fulani 🐼
Ahsanteni sana.