CHADEMA wameiteka Media na habari zao ndio zinauza kwa sasa, CCM tusipokuwa wajanja hali hii itaendelea hadi Oktoba

Baada ya uchaguzi wa mwenyekiti hali imepoa ila ndani ya hii miezi miwili ni kweli iliteka vichwa vya habari
 
Kuna ujanja fulani unafanywa na Chadema Ili waendelee kutrend hata baada ya uchaguzi wao

Kwa mfano mwanzoni tu mwa Mkutano wa Nishati wa Dunia Katibu mkuu wa Chadema Mh mnyika akaitisha Press, Watu wakaanza kumjadili Mnyika na Chadema badala ya Kufuatilia Mjadala wa mkutano

Leo Mkutano umeisha Tundu Lisu katangaza Kesho anaripoti ofisini Sasa Mjadala utakuwa Tundu Lisu na Chadema

Baada ya hapo Tundu Lisu ataanza ziara ya mikoani kujitambulisha na Media zote zitaelekea huko Ili ziuze

CCM inatakiwa Kufanya Kitu Fulani 🐼

Ahsanteni sana
Mwambieni Babu Wassira asinzie kwenye kikao pale Ikulu. Yani itisheni kikao pale Ikulu then Wassira asinzie mbele ya Mama Abdul...Mta trend mwaka mzima! Mbona simple Sana? Huku kwenye active politics hamuwezi ku trend. Try on other side!
 
Tutatrendi mpaka kieleweke. No reform No Erections

Musiba Yao ipo wapi? Polepole ipo wapi?

Nimerudi na mengi kutoka kwa rafiki zetu wa MAGA.
 
CCM wameridhika na Mabango ya Mama yaliyotandazwa nchi nzima!
 
Kuna ujanja fulani unafanywa na CHADEMA Ili waendelee kutrend hata baada ya uchaguzi wao

Kwa mfano mwanzoni tu mwa Mkutano wa Nishati wa Dunia Katibu mkuu wa CHADEMA Mh mnyika akaitisha Press, Watu wakaanza kumjadili Mnyika na CHADEMA badala ya Kufuatilia Mjadala wa mkutano

Leo Mkutano umeisha Tundu Lisu katangaza Kesho anaripoti ofisini Sasa Mjadala utakuwa Tundu Lisu na Chadema

Baada ya hapo Tundu Lisu ataanza ziara ya mikoani kujitambulisha na Media zote zitaelekea huko Ili ziuze

CCM inatakiwa Kufanya Kitu Fulani 🐼

Ahsanteni sana
CCM itatumia tume ya uchaguzi, wasimamizi kuchagua nani ashinde na kutangazwa. Hawahitaji media.
 
Kuna ujanja fulani unafanywa na CHADEMA Ili waendelee kutrend hata baada ya uchaguzi wao

Kwa mfano mwanzoni tu mwa Mkutano wa Nishati wa Dunia Katibu mkuu wa CHADEMA Mh mnyika akaitisha Press, Watu wakaanza kumjadili Mnyika na CHADEMA badala ya Kufuatilia Mjadala wa mkutano

Leo Mkutano umeisha Tundu Lisu katangaza Kesho anaripoti ofisini Sasa Mjadala utakuwa Tundu Lisu na Chadema

Baada ya hapo Tundu Lisu ataanza ziara ya mikoani kujitambulisha na Media zote zitaelekea huko Ili ziuze

CCM inatakiwa Kufanya Kitu Fulani 🐼

Ahsanteni sana
Hata Gigi Money naye ana trend kwenye media.
 
CCM inatakiwa Kufanya Kitu Fulani
 
Tutatrendi mpaka kieleweke. No reform No Erections

Musiba Yao ipo wapi? Polepole ipo wapi?

Nimerudi na mengi kutoka kwa rafiki zetu wa MAGA.
Election not erection. Polepole, Bashiru, Jerry Slaa, Makonda, Lukuvi ni waongeaji wazuri kwenye vyombo vya habari.
 
Ccm wakishindwa kuizuia X

na chadema wakiweza kuitumia X

mabadiliko ni lazima, achaneni kung'ang'ania mainstream media, sijui channel ten huko dunia imeshahama, TV na redio hazina maisha marefu zitakufa.

Mtandao wa X umeumiza nchi nyingi sana na sasa ni too late kuufungia, maana ukiifungia X trump anakulima vikwazo, ukiiachia X unaumizwa.
 
Wanatakiwa Kuwa na wagombea wapya na sura mpya kwenye mifumo
Hilo jambo ni CCM kumuengua Mama Abduli kwwlenye kugombea uraisi. Hamjamuelewa tu huyu jamaa.

CCM sasa ndio wanagundua huyu mama ni liability kubwa sana kwao kwenye huu uchaguzi hasa baada ya Lissu kushinda uenyekiti.
 
Kuna ujanja fulani unafanywa na CHADEMA Ili waendelee kutrend hata baada ya uchaguzi wao

Kwa mfano mwanzoni tu mwa Mkutano wa Nishati wa Dunia Katibu mkuu wa CHADEMA Mh mnyika akaitisha Press, Watu wakaanza kumjadili Mnyika na CHADEMA badala ya Kufuatilia Mjadala wa mkutano

Leo Mkutano umeisha Tundu Lisu katangaza Kesho anaripoti ofisini Sasa Mjadala utakuwa Tundu Lisu na Chadema

Baada ya hapo Tundu Lisu ataanza ziara ya mikoani kujitambulisha na Media zote zitaelekea huko Ili ziuze

CCM inatakiwa Kufanya Kitu Fulani 🐼

Ahsanteni sana
Mission ya CCM imefeli totally,lengo kuu ilikuwa ni kuiua CHADEMA kupitia Mbowe sasa wamefeli jumla, CHADEMA ndio habari ya mjini upende usipende.
 
CCM wakitaka ku- trend wafanye mikutano yenye demokrasia ya kweli, wapambane kutatua changamoto za wananchi kama Maji, rushwa, ufisadi, uonevu, ufujaji wa mali za umma nk.

Kuna wakati Polepole, Lukuvi, Makonda, JPM, Majaliwa, Jerry Slaa, Mtaka, Kalemani, Mpango walikuwa wanatrend sababu kwa kiasi flani walijitahidi kutatua changamoto za wananchi.
 
Mzee,Jimbo la Iringa mjini lipo wazi Kazi kwako.
Habari za CDM ndo habari uza kwa vyombo vya habari hata mkutano mkuu wa CCM na janja ya Samia kupitisha agenda kinyume na katiba ya ccm sio habari ya mjini.
 
Kuna ujanja fulani unafanywa na CHADEMA Ili waendelee kutrend hata baada ya uchaguzi wao

Kwa mfano mwanzoni tu mwa Mkutano wa Nishati wa Dunia Katibu mkuu wa CHADEMA Mhe. mnyika akaitisha Press, Watu wakaanza kumjadili Mnyika na CHADEMA badala ya Kufuatilia Mjadala wa mkutano

Leo Mkutano umeisha Tundu Lissu katangaza Kesho anaripoti ofisini Sasa Mjadala utakuwa Tundu Lissu na CHADEMA.

Baada ya hapo Tundu Lissu ataanza ziara ya mikoani kujitambulisha na Media zote zitaelekea huko Ili ziuze

CCM inatakiwa Kufanya kitu fulani 🐼

Ahsanteni sana.
 
Attachments

  • images (93).jpeg
    images (93).jpeg
    38.2 KB · Views: 2
Mzee,Jimbo la Iringa mjini lipo wazi Kazi kwako.
Habari za CDM ndo habari uza kwa vyombo vya habari hata mkutano mkuu wa CCM na janja ya Samia kupitisha agenda kinyume na katiba ya ccm sio habari ya mjini.
Nimeshatia Nia Bwashee 😄
 
Back
Top Bottom