CHADEMA wameiteka Media na habari zao ndio zinauza kwa sasa, CCM tusipokuwa wajanja hali hii itaendelea hadi Oktoba

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kuna ujanja fulani unafanywa na CHADEMA Ili waendelee kutrend hata baada ya uchaguzi wao

Kwa mfano mwanzoni tu mwa Mkutano wa Nishati wa Dunia Katibu mkuu wa CHADEMA Mhe. mnyika akaitisha Press, Watu wakaanza kumjadili Mnyika na CHADEMA badala ya Kufuatilia Mjadala wa mkutano

Leo Mkutano umeisha Tundu Lissu katangaza Kesho anaripoti ofisini Sasa Mjadala utakuwa Tundu Lissu na CHADEMA.

Baada ya hapo Tundu Lissu ataanza ziara ya mikoani kujitambulisha na Media zote zitaelekea huko Ili ziuze

CCM inatakiwa Kufanya kitu fulani 🐼

Ahsanteni sana.
 
Cdm haijaanza leo kutrend, dhalimu magu baada ya kulijua hilo ndio akadhibiti vyombo vya habari, na habari zake zikawa zinatangazwa kwa shuruti, na za cdm akahakikisha hazisikiki labda zile hasi. Hata hivyo haikufua dafu hadi ikabidi apore uchaguzi wa 2019-20.
 
CCM ifanye Kitu Fulani πŸ˜‚
 
Wauaji wana kazi mwaka huu
 
Zaidi ya kuteka wapinzani hawana jipya, maana mvuto umekwisha toka 2010. Ccm kwa sasa ni kama mwanamke mzee anayelazimisha kuvaa nusu uchi, na kipaka black peaco ilo aonekane bado kigori.
Vuta subra πŸ˜€
 
Waache wahangaike na vyombo vya habari... Sisi kura zetu zipo tayari zinasubiri October ifike zidumbukizwe
 
π‘ͺπ’‰π’‚π’…π’†π’Žπ’‚ π’˜π’π’•π’† π’˜π’‚π’–π’˜π’‚π’˜π’† π’Šπ’π’Š π’Žπ’‚π’ƒπ’‚π’…π’Šπ’π’Šπ’Œπ’ π’šπ’‚π’”π’Šπ’π’π’†π’Œπ’‚π’π’†.
 
CHADEMA ni chaguo la Mungu. CCM ni Chama Cha Mashetani
 
Jina rangu kinemo kimetorewa kwenye nyonyo na nirikuepo nchi ikikabidhiwa, tutatumia Dora kuiba dora
 

Attachments

  • Screenshot_20250128-205949.jpg
    215.6 KB · Views: 5

Wanatakiwa Kuwa na wagombea wapya na sura mpya kwenye mifumo
 
1-CCM itumie polisi kuzuia mikusanyiko isiyo ya kisisiemu.
2-Iteke wana CHADEMA hata kumi na kuwasulubu ile ngumu.
3-kama kusulubiwa haitoshi,wawapeleke mbinguni hata watatu kwa SGR.
4-wakamate wanaozurula hovyo na kuwatisha kisha wawatangaze ni wanachama wapya wamehamia kutoka CHADEMA kwa kunyanyaswa na Tundu Antipas Mughwai Lissu aka Munyampaa.
Watakonga sana nyoyo za watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…