CHADEMA wameiteka Media na habari zao ndio zinauza kwa sasa, CCM tusipokuwa wajanja hali hii itaendelea hadi Oktoba

Baada ya uchaguzi wa mwenyekiti hali imepoa ila ndani ya hii miezi miwili ni kweli iliteka vichwa vya habari
 
Mwambieni Babu Wassira asinzie kwenye kikao pale Ikulu. Yani itisheni kikao pale Ikulu then Wassira asinzie mbele ya Mama Abdul...Mta trend mwaka mzima! Mbona simple Sana? Huku kwenye active politics hamuwezi ku trend. Try on other side!
 
Tutatrendi mpaka kieleweke. No reform No Erections

Musiba Yao ipo wapi? Polepole ipo wapi?

Nimerudi na mengi kutoka kwa rafiki zetu wa MAGA.
 
Lissu atawasumbua sana mwaka huu.!!
 
CCM wameridhika na Mabango ya Mama yaliyotandazwa nchi nzima!
 
CCM itatumia tume ya uchaguzi, wasimamizi kuchagua nani ashinde na kutangazwa. Hawahitaji media.
 
Hata Gigi Money naye ana trend kwenye media.
 
 
Tutatrendi mpaka kieleweke. No reform No Erections

Musiba Yao ipo wapi? Polepole ipo wapi?

Nimerudi na mengi kutoka kwa rafiki zetu wa MAGA.
Election not erection. Polepole, Bashiru, Jerry Slaa, Makonda, Lukuvi ni waongeaji wazuri kwenye vyombo vya habari.
 
Ccm wakishindwa kuizuia X

na chadema wakiweza kuitumia X

mabadiliko ni lazima, achaneni kung'ang'ania mainstream media, sijui channel ten huko dunia imeshahama, TV na redio hazina maisha marefu zitakufa.

Mtandao wa X umeumiza nchi nyingi sana na sasa ni too late kuufungia, maana ukiifungia X trump anakulima vikwazo, ukiiachia X unaumizwa.
 
Wanatakiwa Kuwa na wagombea wapya na sura mpya kwenye mifumo
Hilo jambo ni CCM kumuengua Mama Abduli kwwlenye kugombea uraisi. Hamjamuelewa tu huyu jamaa.

CCM sasa ndio wanagundua huyu mama ni liability kubwa sana kwao kwenye huu uchaguzi hasa baada ya Lissu kushinda uenyekiti.
 
Mission ya CCM imefeli totally,lengo kuu ilikuwa ni kuiua CHADEMA kupitia Mbowe sasa wamefeli jumla, CHADEMA ndio habari ya mjini upende usipende.
 
CCM wakitaka ku- trend wafanye mikutano yenye demokrasia ya kweli, wapambane kutatua changamoto za wananchi kama Maji, rushwa, ufisadi, uonevu, ufujaji wa mali za umma nk.

Kuna wakati Polepole, Lukuvi, Makonda, JPM, Majaliwa, Jerry Slaa, Mtaka, Kalemani, Mpango walikuwa wanatrend sababu kwa kiasi flani walijitahidi kutatua changamoto za wananchi.
 
Mzee,Jimbo la Iringa mjini lipo wazi Kazi kwako.
Habari za CDM ndo habari uza kwa vyombo vya habari hata mkutano mkuu wa CCM na janja ya Samia kupitisha agenda kinyume na katiba ya ccm sio habari ya mjini.
 
 

Attachments

  • images (93).jpeg
    38.2 KB · Views: 2
Mzee,Jimbo la Iringa mjini lipo wazi Kazi kwako.
Habari za CDM ndo habari uza kwa vyombo vya habari hata mkutano mkuu wa CCM na janja ya Samia kupitisha agenda kinyume na katiba ya ccm sio habari ya mjini.
Nimeshatia Nia Bwashee 😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…