CHADEMA wameiteka Media na habari zao ndio zinauza kwa sasa, CCM tusipokuwa wajanja hali hii itaendelea hadi Oktoba

Tutatrendi mpaka kieleweke. No reform No Erections

Musiba Yao ipo wapi? Polepole ipo wapi?

Nimerudi na mengi kutoka kwa rafiki zetu wa MAGA.
"No reform No elections" jambo hili hata CCM wamejukuta wanacheza ngoma ya CDM bila kujua.
 
W
alikosea sana kwenye kujaza nafasi ya umakamu. Wangewashindanisha wale wazee.
 
"No reform No elections" jambo hili hata CCM wamejukuta wanacheza ngoma ya CDM bila kujua.
This is a <>Zero-Sum-Game, pamoja na kuwa hayo ni maneno matamutamu yanayoeza amsha wananchi.Hayatatufikisha ng'ambo.

...sisi CHADEMA ndio tucheze midundo yao. Yaani, we should play using their own playbook.

Tutasema 'Oh wanatumia dola hao' kana kwamba kila aleopo kwenye dola ni CCM. Tusijibarague.Hi ni nchi ya Wananchi na sio CCM. Wananchi ndiyo dola yenyewe.Tusijitafutie sababu za kushindwa.

Tuwafikishie ujumbe Wananchi na sera kama wanavyofanya CCM. CHADEMA wapo watu wengi wanaoeza kujenga hoja kinzani na sera za CCM na zenye mashiko na wananchi wakaelewa, wakajua, ok kuna mbadala.

No reform, No Erection linatuhusu wote, CHADEMA without reforming the way we're approching these Elecrions tutaanguka. Nafurahi Lissu ameliona hili na ameanza pazuri, tusingeeza kuendelea na siasa za Mbowe.
 
Wewe muda mwingine unakuwa very objective, hongera ,huo ndo ukweli wazi
 
Hivi wewe Magufuli alikufyatua?

Tunajadili uchaguzi uliokwisha mwezi huu ambayo Lissu kawa Mwenyekiti wewe umemshikiria tu Magu. Kuna tatizo kubwa kichwani mwako.
 
Hivi wewe Magufuli alikufyatua?

Tunajadili uchaguzi uliokwisha mwezi huu ambayo Lissu kawa Mwenyekiti wewe umemshikiria tu Magu. Kuna tatizo kubwa kichwani mwako.
Nimemkumbusha mleta uzi kuwa cdm ilianza muda mrefu sio sasa tu, na dhalimu magu aliujua ukweli huo akaamua kutumia ulevi wake wa madaraka kuihujumu. Rejea kichwa cha huu uzi, ni wapi kinaonyesha ni mjadala wa uchaguzi huu tu, na hakuna kutoa mfano wowote?
 
CCM ifanye Kitu Fulani 😂
CCM hatuhitaji kuntrend kwenye media

Tuna matawi kila kijiji na kila mtaa na kitongoji nchi nzima tupo

Hao Chadema ambao matawi yao yako hewani na kwenye mitandao ndio wahangaike ku trend mitandaoni na magazetini ambayo hata wanaosima mijini wa kuhesabu vijijini ndio kabisa hawana mpango na magazeti
 
Brother tupo 2025
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…