Chadema wamekosea kufanya uchaguzi karibu na uchaguzi mkuu

Kazanazo

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2023
Posts
7,875
Reaction score
12,665
Hili kosa litawatafuna sana haya yanayotokea leo yasingetokea endapo wangefanya uchaguzi mwaka mmoja kabla au baada ya uchaguzi mkuu

Kusimamia sera kunahitaji muunganiko na muda wa kutosha kwa kuzingatia nguvu ya chama kilicho madarakani ingepaswa wapate muda wa kujadili na kukubaliana juu ya sera ya no reforms no election

Sasa chama kimetoka kwenye uchaguzi watu muda huohuo wanaingia kwenye uchaguzi mkuu hao viongozi wapya wamepata lini uzoefu na muunganiko na ikumbukwe chama kikubwa kama Chadema na uchaguzi wa kidemokrasia lazima viongozi watakao patikana/waliopatikana wengi wao sio wazoefu tofauti na uteuzi wa vyama vingine

Kwa hili sijui kama watashinda tunawaombea
 
nguvu kubwa ya CCM kwenye CHAUMMA inaonyesha ushindi wa chama ambacho hata uchaguzi wenyewe hakipo!
 
Back
Top Bottom