FL1- Point Noted - upo sahihi kule CHADEMA hakuna wajinga wajinga, waropokaji na mabendera fuata upepo, na wanaoingia kwa lengo hilo huwa hawana maisha marefu ndani ya CHADEMA. Kinachonifurahisha ni kwamba yeyote akitoka au akiingia ndani ya chama - CHADEMA inabakia vile vile, misingi imewekwa imara sana.
Kweli kabisa chadema ina misingi imara ya kuchagua viongozi na kusimamia mambo yao!
Ila haina misingi imara ya kulikomboa hili taifa!, sijajua zile kelelele za ufisadi tulizopiga zinazidi kweli kumweka Kikwete madarakani? na kushinda tena kwa kishindo? bado hatujaona tatizo liko wapi jamani??
Hamna upinzani Tanzania, ila kuna opportnist waliovaa majoho ya ukombozi ili hali are traitors!
Akitokea mtu akanipa timeline ya lini wapinzani Tanzania wanategemea kuchukua nchi, then nitafurahi kujua ukweli, aidha tatizo ni vyama, au wananchi! wananchi walisha-prove wanaweza kuwasikiliza wapinzani, this was proved longtime ago, 1995!!!!!
what to do??
1. Nchi hii sio ya CCM wala chama chochote, misingi imara ni vyama vya upinzani kupigania serikali ya umoja wa kitaifa, yaani serikali itakayoundwa kulingana na wingi wa kura wa kila chama! (haya ni mabadiliko ya katiba)
why?
1. vyama vitakuwa motivated kupata wanachama na kuhakikisha wanapiga kura
2. vyama vitakuwa makini kufanya kazi ili next uchaguzi wapate kura zaidi
3. vyama vitakuwa na kiu ya kueneza 'injili' ya siasa na kuanikana uovu wote
4. kila mwananchi wa tanzania atashiriki katika kuunda serikali
5. Every effort done by opposition will be valuable, not euphoria as the word ufisadi which it seems is fueling JK to be in power rather than to remove him from the power!!
huu ndio upinzani na hapa ndio msingi uliotakiwa kufanyika 1992!!!!!!! akina Mtei wanasema walijisahau, Slaa anasema CCM haiwezi kukubali na serikali haitaki kusikia! where are opposition then??
hivi ni lini mtakuwa mnapeperusha JF yetu kuwa ni great thinkers wanaotaka result na sio hopes zisizotengenezwa! otheriwse bila hivyo si chadema wala vyama vingine vitashika nchi hii! let us be troubleshooter rather than dreamshooter!