neema shamuhenya
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 312
- 216
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) chapoteza Wanachama wake wengi kuliko mwaka wa Uchaguzi 2015. Wabunge waliowengi wamekikimbia Chama na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi CCM na baadhi yao kujiunga na NCCR-Mageuzi. Ukweli ni kwamba CHADEMA wamekuwa wapole ila ndio ukishakuwa Mpinzani unajikaza kisabuni hutakiwi kuonesha Udhaifu wa kuumia kuondokewa na Viongozi wachapa kazi na wenye Weledi.
Mfano mmoja alivyoondoka Dr. Vincent Mashinji CHADEMA iliduwaa na walionesha kuumia dhahiri bila kujificha.Wabunge viti Maalum wametimkia NCCR-Mageuzi kama wote yaani wakabakia weupeee. Poleni Wana CHADEMA kwakuondokewa na watu muhimu sana katika Chama.
CHADEMA MPO!!