neema shamuhenya
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 312
- 216
Hahahaha yuko na naniliu mshindo!!Una uhakika na ulichoandika?
Usipotoshe kawataja wabunge halafu kasema"kwa mfano Mashinji alivyoondoka" Sasa tatizo liko wapi? Kwani mashinji hakuwa kiongozi wa Sacco's? Bavicha Ni vilaza aisee!!!Hivi una akili kichwani wewe.hoja gani unataka kujibiwa kaongelea wabunge alafu anamtaja mashinji.
Haya niambie mashinji alikuwa mbunge wa wapi.
Kaandika upuuzi na wewe umeongeza upuuzi acha upuuzi.
G Sam CCM inaweza kutawala muda mrefu sana.kwa sababu nchi hii ina wajinga wengi mno.Una uhakika nq ulichoandika?
Utakua umepata mke mjinga Sana,hivyo kupeleka kuzaa watoto mapoyoyo,ohooAchana na mambo ya siasa.ngoja nije pm nataka nilete posa au unasemaje.
Mbunge mwenye weledi hawezi kuuza utu wake wapeni ubunge huko ccm si wana welediChama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) chapoteza Wanachama wake wengi kuliko mwaka wa Uchaguzi 2015. Wabunge waliowengi wamekikimbia Chama na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi CCM na baadhi yao kujiunga na NCCR-Mageuzi. Ukweli ni kwamba CHADEMA wamekuwa wapole ila ndio ukishakuwa Mpinzani unajikaza kisabuni hutakiwi kuonesha Udhaifu wa kuumia kuondokewa na Viongozi wachapa kazi na wenye Weledi,
Mfano mmoja alivyoondoka Dr. Vincent Mashinji CHADEMA iliduwaa na walionesha kuumia dhahiri bila kujificha.Wabunge viti Maalum wametimkia NCCR-Mageuzi kama wote yaani wakabakia weupeee. Poleni Wana CHADEMA kwakuondokewa na watu muhimu sana katika Chama.
CHADEMA MPO!!
Kwanini polepole analipa watu pesa za vocha ambao kichwani hawana content ya kuiwasilisha mbele ya umma wa jf ?Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) chapoteza Wanachama wake wengi kuliko mwaka wa Uchaguzi 2015. Wabunge waliowengi wamekikimbia Chama na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi CCM na baadhi yao kujiunga na NCCR-Mageuzi. Ukweli ni kwamba CHADEMA wamekuwa wapole ila ndio ukishakuwa Mpinzani unajikaza kisabuni hutakiwi kuonesha Udhaifu wa kuumia kuondokewa na Viongozi wachapa kazi na wenye Weledi,
Mfano mmoja alivyoondoka Dr. Vincent Mashinji CHADEMA iliduwaa na walionesha kuumia dhahiri bila kujificha.Wabunge viti Maalum wametimkia NCCR-Mageuzi kama wote yaani wakabakia weupeee. Poleni Wana CHADEMA kwakuondokewa na watu muhimu sana katika Chama.
CHADEMA MPO!!
Pasco unajadili kwenye vi thread vya kiwango Cha chini Sana,unaporomoka kwa kasi Sana,ila wewe hujijui tu.
Mbona mnaludia yaleyale kwani hamuwajui hao wabunge majina yao.Usipotoshe kawataja wabunge halafu kasema"kwa mfano Mashinji alivyoondoka" Sasa tatizo liko wapi? Kwani mashinji hakuwa kiongozi wa Sacco's? Bavicha Ni vilaza aisee!!!
Kama CHADEMA ni SACOSS kama unavyokazana kudharirisha basi CCM ni genge la MAFIA.Usipotoshe kawataja wabunge halafu kasema"kwa mfano Mashinji alivyoondoka" Sasa tatizo liko wapi? Kwani mashinji hakuwa kiongozi wa Sacco's? Bavicha Ni vilaza aisee!!!
Wote walionunuliwa walishajijua kuwa wasingepitishwa aidha kwenye chama au hata kwa wapiga kura kwani hawakuwatumikia wananchi wao ipasavyo sasa kwa vile wamehakikishiwa kuwa watatatangazwa washindi hata kura zisipotosha basi wakauza utu wao.Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) chapoteza Wanachama wake wengi kuliko mwaka wa Uchaguzi 2015. Wabunge waliowengi wamekikimbia Chama na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi CCM na baadhi yao kujiunga na NCCR-Mageuzi. Ukweli ni kwamba CHADEMA wamekuwa wapole ila ndio ukishakuwa Mpinzani unajikaza kisabuni hutakiwi kuonesha Udhaifu wa kuumia kuondokewa na Viongozi wachapa kazi na wenye Weledi.
Mfano mmoja alivyoondoka Dr. Vincent Mashinji CHADEMA iliduwaa na walionesha kuumia dhahiri bila kujificha.Wabunge viti Maalum wametimkia NCCR-Mageuzi kama wote yaani wakabakia weupeee. Poleni Wana CHADEMA kwakuondokewa na watu muhimu sana katika Chama.
CHADEMA MPO!!