Pre GE2025 CHADEMA wameshatoa Maoni yao kuhusu Miswada ya Sheria za Uchaguzi, yatafanyiwa kazi. Sasa kwanini wametangaza maandamano kabla hawajajibiwa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Upeo wako unaonyesha ni mdogo miswada iliyo pelekwa Bungeni ni sheria zile zile za siku zote maoni ambayo wadau waliomba nayo yajumishwe kwenye miswada hayakuwekwa na huweza ukaenda nje ya mada kama kitu hakipo kwenye mswada huna haki ya kukitolea maoni. Kwahiyo hiyo miswada ni kiini macho. Namaoni ambayo watu wanatoa hayana msaada yoyote kwasababu ndiyo hayo hayo yaliomo kwenye sheria za hivi sasa.
 
Na ile miswada ikipita na kuwa law itachukua muda mrefu sana kuja kubadili hiyo law.

Tulipata uhuru kutoka kwa mkoloni lakini kwa sasa tuna mkoloni mwingine mbaya zaidi
 
Na ile miswada ikipita na kuwa law itachukua muda mrefu sana kuja kubadili hiyo law.

Tulipata uhuru kutoka kwa mkoloni lakini kwa sasa tuna mkoloni mwingine mbaya zaidi
Hata hivyo naona watanzania sasa nao wameanza kuamka, serkali kukubali maandamano ni baada yakuona nguvu ya upinzani wakweli inazidi kuongezeka siku baada ya siku. Hata hao askari wanaona hoja za watanzania ni za kweli na madai yao yakizingatiwa hata wao na familia zao watafaidika. Watoto wengi wa walala hoi wanauwawa kwa kuhusishwa na panya Road. Wakati chanzo cha panya Road ni uzembe na ufisadi wa viongozi wetu. Asilimia kumi ya bajeti inayo paswa kwenda kuwakopesha vijana,, wakina mama na walemavu wanajikopesha wenyewe kisha hawalipi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…