CHADEMA wameshindwa watoa kina Mdee bungeni wanakuja na Samia Must Go, nchi hii ina maajabu mengi sana

Error 404

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2022
Posts
2,151
Reaction score
3,493
Ukiwaza na kufikiri kwa kina sana utagundua Chadema wananufaika na hawa wabunge 19.

Hili halishangazi ila kuwaacha watu wanaokula mamilioni kinyume cha sheria na kutaka kumtoa Samia kitu ambacho wanajua kabisa hawataweza ndio kinashangaza.
 
Chama kinaishi kinyumenyume(hakipendi wasomi ,Mfano,Zitto,DR slaaa,Mkumbo,) yaani kinaongozwa na wasiokuwa na uwezo wa kuandaa mikakati ni lazima wahemeke.Hili neno must go walilichukua toka kwa wale waandamaji wa Kenya na sidhani kama walikuwa wanajua maana yake.
 
Ukiwaza na kufikiri kwa kina sana utagundua Chadema wananufaika na hawa wabunge 19.

Hili halishangazi ila kuwaacha watu wanaokula mamilioni kinyume cha sheria na kutaka kumtoa Samia kitu ambacho wanajua kabisa hawataweza ndio kinashangaza.
freak
CCM ndiyo wnatumia hao COVID-19 kwa kupinda sheria. You're weird, freak
 
Ukiwaza na kufikiri kwa kina sana utagundua Chadema wananufaika na hawa wabunge 19.

Hili halishangazi ila kuwaacha watu wanaokula mamilioni kinyume cha sheria na kutaka kumtoa Samia kitu ambacho wanajua kabisa hawataweza ndio kinashangaza.
hawako kinyume na sheria wako sawa na sheria inavyotaka wangekuwa kinyume wangekuwa wameshatolewa sheria inawabana chadema washinmdwe kuwatoa pia chadema ni legelege sana sikuhizi hawawezi kushindana na hao kna dada wako imara
 
Mleta mada una tope kichwani.

Kumuua mama chui ni rahisi kuliko kuua watoto wa chui.

Kuwaondoa akina Mdee ni vigumu zaidi kwasabb wanalindwa na dola kwa amri ya Samia.

Kwahiyo kuwatoa akina Mdee ni lazima Samia na chama chake wawe wameondoka.
 
mawazo ya kijinga sana hayo
 
Back
Top Bottom