Bushesha jr
JF-Expert Member
- Apr 26, 2020
- 675
- 690
Ni Sasa CHADEMA wameshafanya makosa makubwa ambayo yatawapa taabu sana huko mbeleni historia haitawaacha Salama.
Dunia Sasa iko kwenye vita kubwa ya covid19, hili ni tukio kubwa kihistoria vizazi na vizazi watajifunza hili Janga Kama ambavyo leo historia inazungumzia WW-I na WW-II au kuhusu anguko la uchumi duniani ( Great Depression)
Ikumbukwe mtu yeyote au kikundi chochote kilichosaliti Taifa wakati wa Vita au Janga lolote historia haikuwaacha Salama watu hao na vizazi vyao.
Kwanza CHADEMA wamefanya kosa kubwa sana kutumika na IMPERIALISTS kwa kuwa watetezi wa watu hao hata Katika mazingira ambayo Serikali inafanya vizuri na watu wanaona tena kipindi hicho Taifa na Dunia ipo katika Janga Hili kubwa la corona.
Pili kukimbia bungeni (kukimbia vita) katika ya mapambano na kujaribu kumkatisha tamaa kila askari hii ni laana kubwa haitawaacha Salama.
USHAURI wangu ni vyema wakatubu vinginevyo kila watakapokuwa wanajaribu kujipanga dhambi hii ya usaliti wao kwa Taifa itakuwa inainuka kuwapa pigo.