Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Blunder gani we Ndezi?Tatizo la hawa Chadema kupambana ukweli Mbowe amefanya blunder hata mumtetee vipi hilo liko wazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Blunder gani we Ndezi?Tatizo la hawa Chadema kupambana ukweli Mbowe amefanya blunder hata mumtetee vipi hilo liko wazi
Ni Sasa CHADEMA wameshafanya makosa makubwa ambayo yatawapa taabu sana huko mbeleni historia haitawaacha Salama.
Dunia Sasa iko kwenye vita kubwa ya covid19, hili ni tukio kubwa kihistoria vizazi na vizazi watajifunza hili Janga Kama ambavyo leo historia inazungumzia WW-I na WW-II au kuhusu anguko la uchumi duniani ( Great Depression)
Ikumbukwe mtu yeyote au kikundi chochote kilichosaliti Taifa wakati wa Vita au Janga lolote historia haikuwaacha Salama watu hao na vizazi vyao.
Kwanza CHADEMA wamefanya kosa kubwa sana kutumika na IMPERIALISTS kwa kuwa watetezi wa watu hao hata Katika mazingira ambayo Serikali inafanya vizuri na watu wanaona tena kipindi hicho Taifa na Dunia ipo katika Janga Hili kubwa la corona.
Pili kukimbia bungeni (kukimbia vita) katika ya mapambano na kujaribu kumkatisha tamaa kila askari hii ni laana kubwa haitawaacha Salama.
USHAURI wangu ni vyema wakatubu vinginevyo kila watakapokuwa wanajaribu kujipanga dhambi hii ya usaliti wao kwa Taifa itakuwa inainuka kuwapa pigo.
Wapuuzi nyie mnadhani Corona inafanyiwa dhihaka ?!. Subirini, achaneni na hii trela mlioiona karibuni picha iko mbele. Na kwa mamlaka tulionayo jiandae kukabiliana peke yako. Kwani haijaliChadema wamesaliti Wananchi. Wasubirie October wataiona hasira yetu
Wapuuzi nyie mnadhani Corona inafanyiwa dhihaka ?!. Subirini, achaneni na hii trela mlioiona karibuni picha iko mbele. Na kwa mamlaka tulionayo jiandae kukabiliana peke yako. Kwani haijali
Odhis *
Kwahiyo unaowatetea wewe wataishi milele ? Wew ni mpuuzi hujielewiHao wapuuzi unaowatetea leo hii hawatoishi milele.
Kwahiyo huko wanakodhurura Corona haiko? Kama KUB alikuwa na nia njema kwanini asipeleke hoja hiyo bungeni?Wewe ni takataka kabisa. Wakati wabunge wa Chadema wanaomba wabunge wote wapimwe kuona nani ana maambukizo wewe hicho kichwa chako empty box kilikuwa wapi?
Ona sasa hawakupimwa na wabunge watatu wamedondoka na naibu spika kasema kuna walio hospitali.
Nini kilipaswa kufanywa? Ni kuwaweka karantini wabunge wote kupisha uchunguzi, bunge halijafanya kama ilivyo kanuni ya afya basi Chadema wamejiongeza wameji karamtini wenyewe taabu iko wapi?
Badala ya kuiga hatua hiyo walamba miguu mnakuja na nywe nywe nywe zenu kwa vile tuu mumlambae miguu hajafurahishwa na hatua ya Chadema huku yeye ka abandon ofisi kajificha uvunguni kule atakapo zikwa.
Wakati mwingine ficheni upumbavu wenu, au kama unakuwasha peleka kwa familia yako hadharani tumeuchoka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi gani kama madereva wanadhalilishwa mipakani ?! Viwanda vimefunga, wasafirishaji ng'ambo hawasaplai, biashara hapa nyumbani zimefungwa. Wewe una chapa kazi gani ?! Au humu Jf ?Hahaha Endelea kusubiri utabiri wa kichawi sisi tunachapa kazi
Ni Sasa CHADEMA wameshafanya makosa makubwa ambayo yatawapa taabu sana huko mbeleni historia haitawaacha Salama.
Dunia Sasa iko kwenye vita kubwa ya covid19, hili ni tukio kubwa kihistoria vizazi na vizazi watajifunza hili Janga Kama ambavyo leo historia inazungumzia WW-I na WW-II au kuhusu anguko la uchumi duniani ( Great Depression)
Ikumbukwe mtu yeyote au kikundi chochote kilichosaliti Taifa wakati wa Vita au Janga lolote historia haikuwaacha Salama watu hao na vizazi vyao.
Kwanza CHADEMA wamefanya kosa kubwa sana kutumika na IMPERIALISTS kwa kuwa watetezi wa watu hao hata Katika mazingira ambayo Serikali inafanya vizuri na watu wanaona tena kipindi hicho Taifa na Dunia ipo katika Janga Hili kubwa la corona.
Pili kukimbia bungeni (kukimbia vita) katika ya mapambano na kujaribu kumkatisha tamaa kila askari hii ni laana kubwa haitawaacha Salama.
USHAURI wangu ni vyema wakatubu vinginevyo kila watakapokuwa wanajaribu kujipanga dhambi hii ya usaliti wao kwa Taifa itakuwa inainuka kuwapa pigo.
Kwahiyo unaombea mabaya ili upate agenda ? ww ni short sighted ...Wapuuzi nyie mnadhani Corona inafanyiwa dhihaka ?!. Subirini, achaneni na hii trela mlioiona karibuni picha iko mbele. Na kwa mamlaka tulionayo jiandae kukabiliana peke yako. Kwani haijali
Odhis *
Kwahiyo unaowatetea wewe wataishi milele ? Wew ni mpuuzi hujielewi
Kwa hiyo wabunge waliopo bungeni wanapambana na Corona?Pili kukimbia bungeni (kukimbia vita) katika ya mapambano na kujaribu kumkatisha tamaa kila askari hii ni laana kubwa haitawaacha Salama.
Hatuwezi kuwa taifa la tofauti duniani. Sisi ni sehemu ya dunia. Hatuwezi kwenda kinyume na dunia.Kwahiyo unaombea mabaya ili upate agenda ? ww ni short sighted ...
Kazi gani kama madereva wanadhalilishwa mipakani ?! Viwanda vimefunga, wasafirishaji ng'ambo hawasaplai, biashara hapa nyumbani zimefungwa. Wewe una chapa kazi gani ?! Au humu Jf ?
Odhis *
Bushesha jr,
Chadema haiwezi kufa hata kama Mbowe akienda ccm hiki ni chama kilichojikita mioyoni mwa watu na ndio mbadala wa kweli wa wananchi, watu watakuja watakwenda Chadema ndio inazidi kukua na kupendwa
Dj zero ndio ana own na mkwewe, unafikiri chadema ni chama chako?Bushesha jr,
Chadema haiwezi kufa hata kama Mbowe akienda ccm hiki ni chama kilichojikita mioyoni mwa watu na ndio mbadala wa kweli wa wananchi, watu watakuja watakwenda Chadema ndio inazidi kukua na kupendwa