CHADEMA wameweka rekodi ambayo itawagharimu katika harakati za kutaka Madaraka ya nchii hii

Chadema wamesaliti Wananchi. Wasubirie October wataiona hasira yetu
Wapuuzi nyie mnadhani Corona inafanyiwa dhihaka ?!. Subirini, achaneni na hii trela mlioiona karibuni picha iko mbele. Na kwa mamlaka tulionayo jiandae kukabiliana peke yako. Kwani haijali

Odhis *
 
Hahaha Endelea kusubiri utabiri wa kichawi sisi tunachapa kazi
Wapuuzi nyie mnadhani Corona inafanyiwa dhihaka ?!. Subirini, achaneni na hii trela mlioiona karibuni picha iko mbele. Na kwa mamlaka tulionayo jiandae kukabiliana peke yako. Kwani haijali

Odhis *
 
Kwahiyo huko wanakodhurura Corona haiko? Kama KUB alikuwa na nia njema kwanini asipeleke hoja hiyo bungeni?
 
Hahaha Endelea kusubiri utabiri wa kichawi sisi tunachapa kazi
Kazi gani kama madereva wanadhalilishwa mipakani ?! Viwanda vimefunga, wasafirishaji ng'ambo hawasaplai, biashara hapa nyumbani zimefungwa. Wewe una chapa kazi gani ?! Au humu Jf ?

Odhis *
 
Mna-shangaza sana sana nyie watu nawafananisha na wapuuzi fulani, kwani hao wabunge wanasauti yeyote bungeni kwenu?

Wabunge wangapi wamepoteza maisha mnatangaza kuwatia aibu mtetezi wao yuko hai.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila nyie watu mnaolipwa buku 7 mna ubinafsi sana.
 
Wapuuzi nyie mnadhani Corona inafanyiwa dhihaka ?!. Subirini, achaneni na hii trela mlioiona karibuni picha iko mbele. Na kwa mamlaka tulionayo jiandae kukabiliana peke yako. Kwani haijali

Odhis *
Kwahiyo unaombea mabaya ili upate agenda ? ww ni short sighted ...
 
Kwahiyo unaombea mabaya ili upate agenda ? ww ni short sighted ...
Hatuwezi kuwa taifa la tofauti duniani. Sisi ni sehemu ya dunia. Hatuwezi kwenda kinyume na dunia.

Hata Trump mwanzoni alibeza Leo analia

Odhis *
 
Labda madereva wanadhalilishwa hapo ufipa
Ila Tanzania ninayoijua mimi border zipo busy 24 hrs
Kazi gani kama madereva wanadhalilishwa mipakani ?! Viwanda vimefunga, wasafirishaji ng'ambo hawasaplai, biashara hapa nyumbani zimefungwa. Wewe una chapa kazi gani ?! Au humu Jf ?

Odhis *
 
Intake mpya za Lumumba zimemwagwa uwanjani
 
Vituko vingine hivi.

Bushesha jr,

Chadema haiwezi kufa hata kama Mbowe akienda ccm hiki ni chama kilichojikita mioyoni mwa watu na ndio mbadala wa kweli wa wananchi, watu watakuja watakwenda Chadema ndio inazidi kukua na kupendwa
 
kila siku chadema tu hivi mnataka nini haswaaaa Kama mnawashwa simjikune na Dole la Kati tu
 
Kweli na tunaomba hili janga liondoke lakini kama hali ikiendekea hivi nafikiria sijui watajiweka karantii au watatoka kugombea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bushesha jr,

Chadema haiwezi kufa hata kama Mbowe akienda ccm hiki ni chama kilichojikita mioyoni mwa watu na ndio mbadala wa kweli wa wananchi, watu watakuja watakwenda Chadema ndio inazidi kukua na kupendwa
Dj zero ndio ana own na mkwewe, unafikiri chadema ni chama chako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…