Ukweli ni Kua, kwa pamoja Policcm wanajua fika, chini yao kuna watu wameumizwa, wameteswa, wamepotea ,wamefilisiwa nakila aina ya Uovu.
Wanajua, siku Upinzani Ukichukua Nchi, Aliyesamehe Makaburu ni Nelson Mandela tu na hatotokea mwingine.
Kwa mantiki hiyo....ni mkataba wa maisha...POLISI Kuipigania CCM ..na CCM kuwatetea Polisi.
Nahiyo ndio Tanzania.!!!........
Tunaposema KATIBA MPYA , kwa wenye akili , hatuangalii tu suala LA CDM kushinda uchaguzi,,Bali kwa faida ya Taifa zima kupitia mambo mbali mbali ambayo kwa sasa, kila mmoja anasema hiiiiiiiiiiiiiiiii!! .