Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 7,093
- 10,469
Mambo siyo mambo mtu wao hakubaliki na wenye dunia 2025 ndiyo mwisho sasa chadema wanapashwa kufanya mapinduzi kama ya akina raila na uhuru kenyata, 2025 tuna raisi mpya.
its just too complicated lkn wako pamoja wanajipanga against raisi mpya 2025, moto utawaka ccm na chadema vs globalists.
2025 tuna raisi mpya …
its just too complicated lkn wako pamoja wanajipanga against raisi mpya 2025, moto utawaka ccm na chadema vs globalists.
2025 tuna raisi mpya …