Wanateseka sana kisaikolojia.Hahaha! Natabiri kuanzia kesho thread zote humu jukwaa la siasa zitahusiana na Lissu.
Lakini pia naamini kuna watu wako kwenye hali ngumu sana! Matumbo yananguruma! Usiku wa leo ni wa taabu sana!
Hata mm uzi umenipotezea usingizi wangu shabashiiii[emoji34]najuta kufungua huu utumbo
Sana! Haswa kwenye uamuzi wa kumkamata.Wanateseka sana kisaikolojia.
Kama wanaongozwa na busara, watamuacha, ila kama sivyo, tutarajie kuona wakiharibu hali ya hewa hiyo keshoSana! Haswa kwenye uamuzi wa kumkamata.
Pamoja na huu msiba, kunawafanya wazidi kutaabika kwenye maamuzi.
Ngoja tuone.
Msompenda anakuja!😂Kwa nini watu wanateseka kwa ujio wa Lissu? Na mara nyingine ni hao hao waliokuwa wanasema kwa nini harudi nyumbani. Dhamira zinawasuta
Benmpo,
Ivi Tarehe ya Ujio wa TL na Kufa kwa BM nikipi kilianza?
Nani hapo alitakiwa kufix ratiba yake kwanza kwaajili ya mwenzake?
Bila kujalisha Nin na nani, kafanya nn. Imekuaje, Ratiba ya Lissu kurudi ni kesho na wote lazima muiheshimu ivoivo.. MNAMPANGIA?
Alafu unakuta mtoa mada ni Mwakyembe Madegree alopigwa KO na Wajumbe[emoji23].