Kwenye hili, swala la kutambuana na kuzoeana ndo mahala pake. Tuwe tayari kwalo.Hata hivyo na wachawi nao (ma CCM) hawachezi mbali. Ninatambua hao kama walivyokuwa kenge kwenye msafara wa mamba nao wamo.
Hao watafanya kila kitu kutufarakanisha. Ninasema kila kitu nikiwa ninamaanisha hivyo.
Nimefuta utambulisho wa awali mkuu.Tujikite kwenye mada mkuu.
Utambulisho wangu mbona uko wazi kwenye mada?
"Kutoka kwa mwananchi, mdau."
Kulikoni kunipa utambulisho usiokuwa wangu ndugu?
Kati ya Chadema na akina Mwabukusi nani ni uchwara?Mbowe na genge lake miaka zaidi ya 20 now wameachieve nini?Upinzani sio kupiga kelele, upinzani ni kufanya utawala ubadili Maamuzi yake katika kile walichokua wanafanya. Toka unaijua Chadema, ni jambo gani limewahi kwama kwa watawala kisa wao?Au zile za kutoka nje bungeni ndio upinzani?Tunataka upinzani ambao ukisema jambo flani haliwezekani basi kweli watawala watii.CHADEMA imegombana na wanaharakati gani? Au kuna wanaharakati uchwara wanalazimisha ugomvi na CHADEMA Ili wapate mileage?
Nimefuta utambulisho wa awali mkuu.
Chadema kama chama cha siasa ilitakiwa kwa haraka sana kuwadaka akina Mwabukusi kama kete muhimu ya kuongeza nguvu ya ukombozi. Tumeona CCM ikiona mtu flani anaushawishi katika kundi flani basi hufanya haraka kumnasa na kuanza kumtumia. Tofaut na Chadema wao wanawaona akina Mwabukusi ni tishio na wanaweza kuwa na power zaidi ya baadhi ya top layer kwenye chama. Ndio huwa nasema Chadema sio chama cha SIASA bali genge la wahuni
HapanaKwamba haya ni mawazo yako:
View attachment 2779750
Kwenye uzi huu:
Tundu Lissu, acha kumshambulia Hayati Magufuli
Hudhani kuwa wakaanga mbuyu, uzi huu hauwahusu?
Baba paroko (Joni) Lumumba pale. Si tulikubaliana siasa za kistaarabu?
Kumbe inakuwa je tena?
Kwenye hili, swala la kutambuana na kuzoeana ndo mahala pake. Tuwe tayari kwalo.
Huyu anaumwa!! Anataka Chadema ipoteze muda na wahuni kama akina Mwabukusi na Mdude? Serious?CHADEMA imegombana na wanaharakati gani? Au kuna wanaharakati uchwara wanalazimisha ugomvi na CHADEMA Ili wapate mileage?
Why not ACT au CUF?Mwabukusi, na mdude wakaribishwe chadema maana kule NCCR serikali imesha pora chama na Mwabukusi pale hachomoi. Mahala pekee anaweza kufikisha ujumbe wake ni akiwa chadema, lakini akikubali Dr.Slaa ammiliki hatofika popote.
Aachane na Dr.Slaa ajiunge Chadema.
Vichaa mnaanzisha uzi na kujijibu!!Hapana
You could be sick!Ninakusoma vyema mkuu.
Waswahili wakisema:
"Usoni kama watu."
Huu ni ushauri wa bure kwa CHADEMA na Wanaharakati (wote ndani na nje) ikiwapendeza waungwana kabisa.
Kutoka kwa mwananchi, mdau.
Kwenu waheshimiwa, niwasalimu kwa jina la solidarity: "Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu."
Tulikuwa tuko vizuri. Tulikuwa wamoja. Tulikuwa tukitembea vifua mbele kuelekea kwenye nchi ya ahadi. Nchi yenye asali na maziwa. Shetani gani katupitia, ghafla tushindwe kuelewana?
Wanasema waswahili, ndugu wawili wakigombana, chukua jembe ukalime. Siku wakipatana, chukua kapu ukavune. Misahafu inasema, heri wapatanishi kwa maana hao wataitwa wana wa Mungu.
Tusikubali kufarakanishwa kirahisi. Tusikubali kufarakana kirahisi. Tunajenga nyumba moja. Pamoja, tuko vizuri zaidi.
Kulikoni kutowafikiria viongozi wa dini au hata na waungwana wengine, wa ndani na nje ya vyama au hata ndani na nje ya nchi, ili kuwezesha kusaka mapatano?
Kulikoni kutowafikiria waungwana kama TEC, KKKT, Waislam, madhebu zingine nk au hata na wasomi, wakiwamo nguli? Hawawezi kutuangusha watu hawa. Wengi wao wamekuwa nasi katika dhiki hizi za mapambano.
Fikiria akina Sheikh Ponda, Askofu Bagonza, Askofu Niwemugizi, Prof. Shivji, Askofu Mwamakula (pole zake kwa msiba) nk, nk, kwenye jopo kama hilo?
Kwamba wengine tumelazimika kupiga kelele hivi, tukisisitiza kutafuta mapatano bila kujali changamoto zote zilizotukabili, ni kwa sababu tukiamini Tanzania ya namna hii:
View attachment 2779321
Ilikuwa karibu zaidi katika umoja wetu kuliko wakati wowote. Fikiria Tanzania hiyo. Kizuizi gani Ya-Rabi kiwepo njiani hapo, kitushinde kukiondoa kwa ajili ya ushindi huu ulio karibuni na dhahiri hivyo?
Kulikoni tusiweke yoyote binafsi pembeni, tukajaribu kutafuta mapatano? Ikishindikana, basi ikawe imekuwa bahati mbaya. Kwamba haikuwa riziki, ila kwa dhati yetu kabisa, tulijaribu?
Wakulima wanasema majembe yaliyopo pamoja kukwaana, hutokea. Tutafute mapatano nafasi hii ya dhahabu tulipo, isituponyoke kirahisi.
Kutengana kwa makundi mawili haya ni hasara kubwa kwa yote. Hali ni faida kubwa mno kwa mahasimu wetu wasiopenda katu, tuelewane.
Wanasema waswahili, "Wagombanao, ndiyo wapatanao." Tumtangulize Mola mbele. Palipo yeye hakuna lisilowezekana. Penye nia, pana njia.
Teh teh teh wewe ni Mwabu au mdude?
Wewe ni mpumbavu kama wapalestinaKati ya Chadema na akina Mwabukusi nani ni uchwara?Mbowe na genge lake miaka zaidi ya 20 now wameachieve nini?Upinzani sio kupiga kelele, upinzani ni kufanya utawala ubadili Maamuzi yake katika kile walichokua wanafanya. Toka unaijua Chadema, ni jambo gani limewahi kwama kwa watawala kisa wao?Au zile za kutoka nje bungeni ndio upinzani?Tunataka upinzani ambao ukisema jambo flani haliwezekani basi kweli watawala watii.
Kama wanao huo utashi wa kupatana kwanini watafute mtu wakati wanajua kinachotakiwa kufanyika "kupatana" si wanaamua tu wanasamehe yaliyopita?Huu ni ushauri wa bure kwa CHADEMA na Wanaharakati (wote ndani na nje), ikiwapendeza, waungwana kabisa.
Kutoka kwa mwananchi, mdau.
Kwenu waheshimiwa, niwasalimu kwa jina la solidarity: "Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu."
Tulikuwa tuko vizuri. Tulikuwa wamoja. Tulikuwa tukitembea vifua mbele kuelekea kwenye nchi ya ahadi. Nchi yenye asali na maziwa. Shetani gani katupitia, ghafla tushindwe kuelewana?
Wanasema waswahili, ndugu wawili wakigombana, chukua jembe ukalime. Siku wakipatana, chukua kapu ukavune. Misahafu inasema, heri wapatanishi kwa maana hao wataitwa wana wa Mungu.
Tusikubali kufarakanishwa kirahisi. Tusikubali kufarakana kirahisi. Tunajenga nyumba moja. Pamoja, tuko vizuri zaidi.
Kulikoni kutowafikiria viongozi wa dini au hata na waungwana wengine, wa ndani na nje ya vyama au hata ndani na nje ya nchi, ili kuwezesha kusaka mapatano?
Kulikoni kutowafikiria waungwana kama TEC, KKKT, Waislam, madhehebu zingine nk au hata na wasomi, wakiwamo nguli? Hawawezi kutuangusha watu hawa. Wengi wao wamekuwa nasi katika dhiki hizi za mapambano.
Fikiria akina Sheikh Ponda, Askofu Bagonza, Askofu Niwemugizi, Prof. Shivji, Askofu Mwamakula (pole zake kwa msiba) nk, nk, kwenye jopo kama hilo?
Kwamba wengine tumelazimika kupiga kelele hivi, tukisisitiza kutafuta mapatano bila kujali changamoto zote zilizotukabili, ni kwa sababu tukiamini Tanzania ya namna hii:
View attachment 2779321
Ilikuwa karibu zaidi katika umoja wetu kuliko wakati wowote. Fikiria Tanzania hiyo. Kizuizi gani Ya-Rabi kiwepo njiani hapo, kitushinde kukiondoa kwa ajili ya ushindi huu ulio karibuni na dhahiri hivyo?
Kulikoni tusiweke yoyote binafsi pembeni, tukajaribu kutafuta mapatano? Ikishindikana, basi ikawe imekuwa bahati mbaya. Kwamba haikuwa riziki, ila kwa dhati yetu kabisa, tulijaribu?
Wakulima wanasema majembe yaliyopo pamoja kukwaana, hutokea. Tutafute mapatano nafasi hii ya dhahabu tulipo, isituponyoke kirahisi.
Kutengana kwa makundi mawili haya ni hasara kubwa kwa yote. Hali ni faida kubwa mno kwa mahasimu wetu wasiopenda katu, tuelewane.
Wanasema waswahili, "Wagombanao, ndiyo wapatanao." Tumtangulize Mola mbele. Palipo yeye hakuna lisilowezekana. Penye nia, pana njia.
Kama wanao huo utashi wa kupatana kwanini watafute mtu wakati wanajua kinachotakiwa kufanyika "kupatana" si wanaamua tu wanasamehe yaliyopita?
Haitupendezi. Kila mtu apambane kivyakeNadhani mada hujaisoma au hukuielewa:
"Hakuna popote panaposema nani kagombana na nani?" Au hata "nani kafanya nini."
Zingatia:
"Huu ni ushauri wa bure kwa CHADEMA na Wanaharakati (wote ndani na nje) ikiwapendeza waungwana kabisa hawa."
"Kutoka kwa mwananchi, mdau."
Kumbuka:
1. Kupatanishwa si lazima uwepo ugomvi.
2. Mada haina cha kufanya na ugomvi hata kama upo.
3. Malalamiko ya upande wowote kama yapo, ni huko kwenye usuluhishi.
4. Yote kheri, na ni kama itawapendeza.
Kwa hiyo kwa akili yako ya kipuuzi unadhani upinzani unaletwa na Chama,Yaani unekalisha matako huko CCM unalamba miguu ya kina Nape Halafu unabana pua hapa eti Unataka upinzani wa hiviKati ya Chadema na akina Mwabukusi nani ni uchwara?Mbowe na genge lake miaka zaidi ya 20 now wameachieve nini?Upinzani sio kupiga kelele, upinzani ni kufanya utawala ubadili Maamuzi yake katika kile walichokua wanafanya. Toka unaijua Chadema, ni jambo gani limewahi kwama kwa watawala kisa wao?Au zile za kutoka nje bungeni ndio upinzani?Tunataka upinzani ambao ukisema jambo flani haliwezekani basi kweli watawala watii.