Siasa za CHADEMA kwa miaka ya karibuni zimekuwa siasa za ki Mandela Mandela na Ki Martin Luther King(Ukipigwa shavu la kulia geuza na la kushoto). Hakuna Steven Biko na Malcom X tena (Jino kwa Jino) huko katikati ndio maana uonevu unazidi kila siku.
Miaka ya nyuma akina Lema walijitahidi kuwa akina Steven Biko na Malcom X lakini wameamua kushika majumu ya familia zao.
Anatakiwa Steven Biko na Malcom X wakuwaongoza bodaboda, wadudu wale wa Arusha, masela, wahuni, wanaApollo, n.k