comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 9,019
- 6,825
mwaka 2019 wagombea wengi wa CHADEMA walienguliwa kwa sababu ya mapungufu makubwa kwenye ujazaji wa fomu za uteuzi. Mwaka 2024 CHADEMA wamejifunza somo sasa viongozi wote wanawasaidia kujaza fomu ili lisiwapte la 2019. Ni jambo jema kukiri makosa kwa vitendo

FRV. Gaspar E. Temba
@ItsTemba
·
15h
Mapema leo Mbunge wa wananchi wa Jimbo la Muheza Mh. Yosepher komba
@yosepherfkomba
akiongoza zoezi la ujazaji wa fom Kwa wagombea katika kata ya Ngomeni ikiwa ni muendelezo wa zoezi hilo lililo anza jana Oct 26/2024#WatakeWasitake