CHADEMA wanakosea, Katiba ni kipaumbele kweli lakini bado wananchi hawajashirikishwa vya kutosha

Katiba ni kipaumbele kweli lakini bado wananchi hawajashirikishwa vya kutosha.

Wakishirikishwa vya kutosha nguvu itakuwa kubwa mno ktk kudai katiba,, watawala wataogopa tu .....
Watashirikishwa lini? Mliwahi kukaa mezani na Chadema kujadili hili? Mnapita tuu na vipaza sauti na kusema kuna watu wameanza choko choko.
 
Ulitaka washirikishwe vipi, hebu sema ili tuone huo ushirikishwaji maana hii ni mikutano ya ndani na haitakiwi, huo ushirikishwaji unafanyikaje
 
Mjiulize tu swali moja. Ingekuwa CCM wangefanyiwa haya. Je haki unaipata ukiwa CCM tu. Upinzani hauna haki ya kutoa Elimu ya kiraia kwa mamba mbalimbaki ikiwemo katiba mpya?
Yaani Nyerere angekuwa hai Kuna watu huko CCM wangelamba bakora za kutosha kwa upuuzi wanaoufanya.
 
Watashirikishwa lini? Mliwahi kukaa mezani na Chadema kujadili hili? Mnapita tuu na vipaza sauti na kusema kuna watu wameanza choko choko.
Sky eclat unadhani mimi ni ccm au ni chadema????

Im a free thinker
 
yaan wananchi uelewa wa katiba bado sana yaan mtu eti anaenda kupiga kula alafu mkurugenzi wa uchaguzi anateuliwa na mgombea huu ufala unaitwa uchaguzi kwangu mm ni BIG NO
 
Katiba ni kipaumbele kweli lakini bado wananchi hawajashirikishwa vya kutosha.

Wakishirikishwa vya kutosha nguvu itakuwa kubwa mno ktk kudai katiba,, watawala wataogopa tu .....
Wananchi walikwisha shirikishwa na rasimu ya katiba ikaandikwa chini ya uenyekiti wa Joseph Sinde Warioba!
 
Back
Top Bottom