Ukiacha kushika dola, kazi nyingine muhimu ya chama cha siasa ni kutoa elimu ya uraia kupitia mikutano, mihadhara, makongamano na mijadala hapa ndipo serikali ya CCM haitaki iyo kitu maana hawataki kuwafumbua macho raia, kwa sababu wanataka kuendelea kutawala wajinga. Sasa kwenye suala la katiba kimsingi vyama vya siasa, mashirika na asasi mbalimbali zilitakiwa wawe wanapewa nafasi kutoa elimu ila serikali inakataa kupitia polisi kwamba wanavuluga usalama lakini ironically sio usalama ni ugali wa CCM maana mtaji wao ni ujinga wa watu