Lyaka Mlima Jr
JF-Expert Member
- Mar 24, 2020
- 361
- 521
Watashirikishwa lini? Mliwahi kukaa mezani na Chadema kujadili hili? Mnapita tuu na vipaza sauti na kusema kuna watu wameanza choko choko.Katiba ni kipaumbele kweli lakini bado wananchi hawajashirikishwa vya kutosha.
Wakishirikishwa vya kutosha nguvu itakuwa kubwa mno ktk kudai katiba,, watawala wataogopa tu .....
Katiba ni kipaumbele kweli lakini bado wananchi hawajashirikishwa vya kutosha.
Wakishirikishwa vya kutosha nguvu itakuwa kubwa mno ktk kudai katiba,, watawala wataogopa tu .....
Sky eclat unadhani mimi ni ccm au ni chadema????Watashirikishwa lini? Mliwahi kukaa mezani na Chadema kujadili hili? Mnapita tuu na vipaza sauti na kusema kuna watu wameanza choko choko.
Unataka wapite kila nyumba? huoni wakiandaa makongamano wanakamatwa?Katiba ni kipaumbele kweli lakini bado wananchi hawajashirikishwa vya kutosha.
Wakishirikishwa vya kutosha nguvu itakuwa kubwa mno ktk kudai katiba,, watawala wataogopa tu .....
Labda wawe wanakaa kwakeUlitaka washirikishwe vipi, hebu sema ili tuone huo ushirikishwaji maana hii ni mikutano ya ndani na haitakiwi, huo ushirikishwaji unafanyikaje
Wananchi walikwisha shirikishwa na rasimu ya katiba ikaandikwa chini ya uenyekiti wa Joseph Sinde Warioba!Katiba ni kipaumbele kweli lakini bado wananchi hawajashirikishwa vya kutosha.
Wakishirikishwa vya kutosha nguvu itakuwa kubwa mno ktk kudai katiba,, watawala wataogopa tu .....
Umechukua jitihada gani kukomesha huo uharamia?yaan wananchi uelewa wa katiba bado sana yaan mtu eti anaenda kupiga kula alafu mkurugenzi wa uchaguzi anateuliwa na mgombea huu ufala unaitwa uchaguzi kwangu mm ni BIG NO
Itakuwa alikuwa hajazaliwaWananchi walikwisha shirikishwa na rasimu ya katiba ikaandikwa chini ya uenyekiti wa Joseph Sinde Warioba!
Ya zamani tu yenyewe haifahamiki vzr
Makongamano ndiyo yameanza kuwashirikisha zaidi wananchi.Katiba ni kipaumbele kweli lakini bado wananchi hawajashirikishwa vya kutosha.
Wakishirikishwa vya kutosha nguvu itakuwa kubwa mno ktk kudai katiba,, watawala wataogopa tu .....
Sasa hapo makosa ya cdm yanatoka wapi?Katiba ni kipaumbele kweli lakini bado wananchi hawajashirikishwa vya kutosha.
Wakishirikishwa vya kutosha nguvu itakuwa kubwa mno ktk kudai katiba,, watawala wataogopa tu .....
Hawana akili kabisa hawa misukule ya mwenda zakeWatashirikishwa lini? Mliwahi kukaa mezani na Chadema kujadili hili? Mnapita tuu na vipaza sauti na kusema kuna watu wameanza choko choko.