LGE2024 CHADEMA wanaofaidika nini kwa Kufuatilia Kura za maoni CCM kwenye maeneo mbalimbali na kuzusha kuna Wizi wa Kura?

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Unatakiwa umjue mpinzani wako, mapungufu na nguvu zake VS wewe
 
ndicho kitu pekee wanachoweza kufanya,

hata hivyo,
kwakua hawaaminiki wala kukubalika ndani ya jamii, inatia moyo sana waTanzania wamewapuuza kwa kiwango cha juu sana ๐Ÿ’
 
Wewe kibuyu hizo taarifa wanazivujisha wanaccm wenyewe kwani Chadema wanashiriki kwenye vikao vyenu vya mchujo? Wewe ukishabugia visungura akili zinahama
 
Kwani wakati Chadema wanafanya chaguzi zao CCM walifaidika na nini kufuatilia na kusema kuna rushwa!!!???
 
ccm wameanza kupasuka vipande vipande, chadema tunapita katikati yao kuelekea ushindi, toka jana simu ni jyingi sana, mafuriko ya ushindi yaleee, chadema wana akili kubwa sana just wait
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ