Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Unatakiwa umjue mpinzani wako, mapungufu na nguvu zake VS weweNilitegemea Viongozi wa CHADEMA wangekuwa busy kujipanga na uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Kumbe nilikosea Sana wao wako busy kuzusha Uwongo Kwamba Kura za maoni CCM zinafeli kila Mtaa
Hawa CHADEMA ni kama Wamerogwa, tuwapuuze
Baadae Mlale unono 🐼