CHADEMA wanaongoza sana siasa za Tanzania, leo mkutano wa TCD umepoa

Nani afatilie huo ujinga
ni ujinga kujifanya kuwa wewe una akili kuliko wote wale walioenda mule ndani ina maana chadema tu ndiyo unaona wana akili? kwa taarifa yako wengi ndiyo wenye akili yaliyobaki mapopoma ya chadema tu hamna watu humo
 

Ww acha ulevi or mental illness, una uhakika siku Mh. Rais alipokutana na Lissu nchi nzima ilisimama? CDM iko ICU mbona imebakia mitandaoni tu, hata ofisi zake sizioni.

Jamani, mkiwa mna post hizi threads make sure you are in a good health especially mentally.
 
Watu waliovuruga Uchaguzi Mkuu 2020 ndio watoa mada!
Walioumiza na kuua watu ili wabaki madarakani unategemea nini toka kwao? Waacheni wale kodi zenu.
 
Kumbe mmesusa halafu mnafuatilia mtandaoni, wenzenu wanajadili mambo muhimu ya saida. Mabalozi mnaowakimbilia siku zote wapo, asasi za kiraia zipo mmebaki nyie na maria space
 
Wanapiga soga tu mda ufike walambe bahasha
Huo ni mkutano wa kutafuta upenyo wa kuvbisha matumbo.

Zito ameomba hicho kikundi cha Vikoba kinachoitwa TCD, kiwe kinapewa ruzuku sawa na inavyopewa ACT. Mama kamjibu kuwa hilo linazungumzika. Hayo ni mafanikio makubwa sana kwa Zito, baye wakati wote anaangalia wapi atajipatia kipato bila jasho.
 
😁😁😁
Your browser is not able to display this video.
 
Mbona we' mwenyewe unaozungumzia? Heri mimi sijasema!
 
Ule mkutano ni wajumbe wa pembeni wa ccm. Ni kikao chao kile so hakiwezi kua muhimu sana
 
Bora umesema. Zitto amepoteza credibility kwa wananchi
 
Chadema hawajielewi unatakiwa ukiwa wanasiasa kutumia every platform utakayoona President yupo tu air your comments sababu all international media pay attention where president is.Hicho kitu kwenye Marketing. Kinaitwa product or service positioning to local and international customers both English and other international languages speakers!!

Haya cha tafuteni julwaa Lenu ambali media zitakazohudhuria ni BBC swahili service,Sauti ya Ujerumani swahili service ana Voice of America swahili service!! Wazungu na swahili service wapi na wapi ? Raisi alipo ni patashika nguo kuchanika mumekosa golden Opportunity
Chadema hawajielewi wajinga nyie

Hamjui kuji position internationally mumezoea local politics
 
Mimi hata sina habari kama kulikuwa na mkutano huo!
 
😁😁😁
View attachment 2176626
Aliyekuwa kijana mtiifu na mtumikia wasiokuwa na shukrani Diwani wa Gwarama msomi wa UDMS baada ya kuachana chadema Leo amekuja kukiuwa na kukizika jumla hapa Gwarama katani na ujumbe umesambaa Kakonko nzima sasa wananchi wanaondoa vibendela vyote na chadema ndio mwisho wake wilayana Kakonko

Wanainchi wameeita zawadi ya sijui za mwisho wa mwaka

Onyo: ukifika Kakonko usipanue vidole juu huku sasa ni ccm na maendeleo sio muda wa kudai demokrasia

USSR










 
Hapa kiongozi wa NGOGWE Ni yupi?

 


Ukweli ni kwamba Vyama vingine vya siasa vimejengewa picha ya kutokuaminika kwa watu na vimeshindwa kujitoa kabisa kwenye hilo shimo
 
Natamani ningekuelewa.
 
Mungu ibariki Chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…