CHADEMA wanaongoza sana siasa za Tanzania, leo mkutano wa TCD umepoa

Wangempa usemaji wa TCD Steve Nyerere ingejulikana Leo Kuna mkutano.
 
ni ujinga kujifanya kuwa wewe una akili kuliko wote wale walioenda mule ndani ina maana chadema tu ndiyo unaona wana akili? kwa taarifa yako wengi ndiyo wenye akili yaliyobaki mapopoma ya chadema tu hamna watu humo
Ukipunguza jazba utaweza kufikiri kwa uhuru. Tume huru ndani ya katiba iliyopo ni utani hata kwa watoto wa chekechea. Zito, Mrema, Cheyo, Shibuda wanna hoja ya ruzuku tu.
 
yupo ICU lakini unaogopa katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi ...sasa sijui mfu ni nani kati ya hao wawili. Bila shaka anayeogopa kushindana na mgonjwa aliye ICU ndio mfu
 
Mtamkaji akiwa tanga kwenye kampeni eti hata mpigie kura zote upinzani mnajisumbua tu tutatangaza upinzani
 
we are leading the game. Anayekubali akubali anayekataa aendelee kukataa.
 
yupo ICU lakini unaogopa katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi ...sasa sijui mfu ni nani kati ya hao wawili. Bila shaka anayeogopa kushindana na mgonjwa aliye ICU ndio mfu
The whole truth🤣🤣
 
Mbona unateseka
 
Ukweli ni kwamba Vyama vingine vya siasa vimejengewa picha ya kutokuaminika kwa watu na vimeshindwa kujitoa kabisa kwenye hilo shimo
Nani amuamini Shibuda,Cheyo, Mrema, Lipumba
 
Kama ulikua hujui huko ccm kuna watu wanalipwa kwa sababu ya uwepo wa chadema.
 
Vijana wa Mbowe man utoto was kijuha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…