Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Ukiona jambo lolote linapiganiwa na viongozi wa CHADEMA ujue linawagusa.
Hebu tuangalie mfano huu. Kuna askari usu wa wizara ya maliasili na utalii, Askari wa TFS, TAWA, NGORONGORO, TANAPA . Kwa vitendo vya ukatili vya askari hawa wa maliasili ni hatari zaidi ya polisi. They kill randomly daily, askari wengi wamefungwa na wengine kesi zao zinaendelea mahakamani kwa makosa ya mauaji ya wananchi. Kuna ambao hawajashikwa lakini wametoa uhai wa Watanzania wengi kisa tu Mtanzania kaenda kuvua samaki kwenye hifadhi.
Wengine wameuwawa kwa kuingiza mifumo hifadhini kwa bahati mbaya tu. Wengine walikwenda kuokota kuni wakaote moto na kupikia.
CHADEMA kama kingekuwa chama cha kupigania Watanzania kelele zao nyingi zingekuwa juu ya vitendo hivi vya kikatili vya askari usu wa wizara ya maliasili. Badala yake wako busy kupiga kelele juu ya polisi kwakuwa polisi kimamlaka ndiye anayempunguza speed CHADEMA kwenye harakati zake za kutaka kuingia Ikulu.
Ieleweke hapa sitetei jeshi la polisi lakini nataka kuonyesha point ambayo CHADEMA walipaswa kuilengea kidole kwa msisitizo lakini they don't care in such. CHADEMA kila wanalolipigania ujue lina maslahi kwao ingawa huwahadaa wananchi kuwa wanawapigania .