Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
CHADEMA wana deal na chazo cha uozo. Hao askari hawajipeleke wenyewe. Wanapelekwa na kulelewa na Samia. Na Samia hajachaguliwa na wananchi, ila kawekwa na baadhi ya wahuni kwa kuua watu. Ukitaka kumaliza tatizo ni lazima umwondoe yule analisababisha na siyo hao wengine. Na ukitaka kumwondoa huyo muuaji ni lazima kuwe na mfumo mzuri ambao wananchi wataamua ni nani kiongozi wao. Haijalishi awe ni kutoka CHADEMA, ila wanataka kiongozi bora asiyeuwa. CHADEMA wako sahihi. Wanapiga kichwa cha nyoka!Ukiona jambo lolote linapiganiwa na viongozi wa CHADEMA ujue linawagusa.
Hebu tuangalie mfano huu. Kuna askari usu wa wizara ya maliasili na utalii, Askari wa TFS, TAWA, NGORONGORO, TANAPA . Kwa vitendo vya ukatili vya askari hawa wa maliasili ni hatari zaidi ya polisi. They kill randomly daily, askari wengi wamefungwa na wengine kesi zao zinaendelea mahakamani kwa makosa ya mauaji ya wananchi. Kuna ambao hawajashikwa lakini wametoa uhai wa Watanzania wengi kisa tu Mtanzania kaenda kuvua samaki kwenye hifadhi.
Wengine wameuwawa kwa kuingiza mifumo hifadhini kwa bahati mbaya tu. Wengine walikwenda kuokota kuni wakaote moto na kupikia.
CHADEMA kama kingekuwa chama cha kupigania Watanzania kelele zao nyingi zingekuwa juu ya vitendo hivi vya kikatili vya askari usu wa wizara ya maliasili. Badala yake wako busy kupiga kelele juu ya polisi kwakuwa polisi kimamlaka ndiye anayempunguza speed CHADEMA kwenye harakati zake za kutaka kuingia Ikulu.
Ieleweke hapa sitetei jeshi la polisi lakini nataka kuonyesha point ambayo CHADEMA walipaswa kuilengea kidole kwa msisitizo lakini they don't care in such. CHADEMA kila wanalolipigania ujue lina maslahi kwao ingawa huwahadaa wananchi kuwa wanawapigania .
Huyo ni kichaa katiba ya nchi toka lini ikawa mali ya chama cha siasa vichaa ni wengi humuKwahiyo Kabudi aliposema katiba mpya ni muhimu alikuwa anapigania kushika dola.
Toka lini chawa wa kilaza akawa na akili?!.Huyo ni kichaa katiba ya nchi toka lini ikawa mali ya chama cha siasa vichaa ni wengi humu
True ukiwa chawa huwezi tena kutumia akili yakoToka lini chawa wa kilaza akawa na akili?!.
Acha ujinga wako! Katiba mpya ni takwa la wananchi walio wengi. Na CHADEMA au mtu yeyote yule. Ndiyo maana kati ya mwaka 2010-2012 wananchi tulipendekeza ni aina gani ya Katiba tunaitaka kupitia ile Tume ya Katiba ya Jaji Warioba.Ukiona jambo lolote linapiganiwa na viongozi wa CHADEMA ujue linawagusa.
Hebu tuangalie mfano huu. Kuna askari usu wa wizara ya maliasili na utalii, Askari wa TFS, TAWA, NGORONGORO, TANAPA . Kwa vitendo vya ukatili vya askari hawa wa maliasili ni hatari zaidi ya polisi. They kill randomly daily, askari wengi wamefungwa na wengine kesi zao zinaendelea mahakamani kwa makosa ya mauaji ya wananchi. Kuna ambao hawajashikwa lakini wametoa uhai wa Watanzania wengi kisa tu Mtanzania kaenda kuvua samaki kwenye hifadhi.
Wengine wameuwawa kwa kuingiza mifumo hifadhini kwa bahati mbaya tu. Wengine walikwenda kuokota kuni wakaote moto na kupikia.
CHADEMA kama kingekuwa chama cha kupigania Watanzania kelele zao nyingi zingekuwa juu ya vitendo hivi vya kikatili vya askari usu wa wizara ya maliasili. Badala yake wako busy kupiga kelele juu ya polisi kwakuwa polisi kimamlaka ndiye anayempunguza speed CHADEMA kwenye harakati zake za kutaka kuingia Ikulu.
Ieleweke hapa sitetei jeshi la polisi lakini nataka kuonyesha point ambayo CHADEMA walipaswa kuilengea kidole kwa msisitizo lakini they don't care in such. CHADEMA kila wanalolipigania ujue lina maslahi kwao ingawa huwahadaa wananchi kuwa wanawapigania .
Cdm wakichukua nchi hao askari wanyama pori watatenda haki. Una kingine kwa msaada zaidi?Ukiona jambo lolote linapiganiwa na viongozi wa CHADEMA ujue linawagusa.