CHADEMA wanarumbana CCM wanachekelea Watanzania wanaumia, ni nani mtetezi wa kweli wa Watanzania?

Kiranja wa jamii

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2023
Posts
1,222
Reaction score
2,912
Nchi ipo katikakati ya majonzi. Viongozi wa dini wanavamiwa, wanataka kuuwawa wengine wanatishiwa maisha

Wanaharakati wanateswa, wanapotezwa na wengine wanatupwa jera kinachobaki ni familia kuwalilia wasijue watanyamanza lini

Katika katika ya majonzi mkuu wa jumba linalokusanya wawakilishi wa wanaoitwa wananchi anasema hawezi kuruhusu mjadala wa watu kutekwa na kupotezwa kwasababu polisi inahusishwa na dhambi hiyo na watu wasio na ushahidi wa haki na kweli (japo wanaoteka hujitambulisha kuwa ni polisi). Kwanini usifanywe mjadala ili polisi wapate nafasi ya kusafishwa na kujisafishwa? Hili jibu analo mkuu wa mjengo asiyetaka mjadala.

Pia anasema huo msamiati (kuteka) umerahisisishwa mno (sijaelewa maana yake!,)

Kama haitoshi waliotegemewa kuwa pumzi ya mwisho ya wananchi wanavurugana na wanapigana vikumbo kwa makovu ya kumkosa mkuu wao wa kambi waliyemtaka. Hawataki kuelewa kili kukicha ni shutuma juu ya shutuma

Katika hali hii ni nani wa kumtetea mwananchi kama si mwananchi mwenyewe?
 
Katika katika ya majonzi mkuu wa jumba linalokusanya wawakilishi wa wanaoitwa wananchi anasema hawezi kuruhusu mjadala wa watu kutekwa na kupotezwa kwasababu polisi inahusishwa na dhambi hiyo na pia huo msamiati (kuteka) umerahisisishwa mno (sijaelewa maana yake!,)

Kama haitoshi waliotegemewa kuwa pumzi ya mwisho ya wananchi wanavurugana na wanapigana vikumbo kwa makovu ya kumkosa mkuu wao wa kambi waliyemtaka. Hawataki kuelewa kili kukicha ni shutuma juu ya shutuma

Katika hali hii ni nani wa kumtetea mwananchi kama si mwananchi mwenyewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtanzania mimi na ww.
 
Hivi ukijarubu kukaa chini kwa kutulia na kutafakari kwa kina kabisa, bila mihemko Wala akili za ulevi, CHADEMA hii inaweza kuongoza Nchi?
 
Chadema hailumbani na mtu, hao mamluki wamejiondoa Chadema na wameamua kutukana walikotoka, si wanachadema na wewe umeona wakisema wenyewe
 
Kuna namna CHADEMA ya Lissu inaenda kuirahisishia CCM kazi. Wangeshiriki tu uchaguzi kwani wasingekosa madiwani na wabunge kadhaa.
 
Hivi ukijarubu kukaa chini kwa kutulia na kutafakari kwa kina kabisa, bila mihemko Wala akili za ulevi, CHADEMA hii inaweza kuongoza Nchi?
Kwanini isiweze mlevi mwenzangu ikiwa hao wengine wameweza
 
Chadema hii ya sasa aaah mara elf ya Ccm, wamebaki kulaumiana kususa na kutukanana, ovyo kabisa
 
Nchi ipo katikakati ya majonzi. Viongozi wa dini wanavamiwa, wanataka kuuwawa wengine wanatishiwa maisha

Wanaharakati wanateswa, wanapotezwa na wengine wanatupwa jera kinachobaki ni familia kuwalilia wasijue watanyamanza lini

Katika katika ya majonzi mkuu wa jumba linalokusanya wawakilishi wa wanaoitwa wananchi anasema hawezi kuruhusu mjadala wa watu kutekwa na kupotezwa kwasababu polisi inahusishwa na dhambi hiyo na watu wasio na ushahidi wa haki na kweli (japo wanaoteka hujitambulisha kuwa ni polisi). Kwanini usifanywe mjadala ili polisi wapate nafasi ya kusafishwa na kujisafishwa? Hili jibu analo mkuu wa mjengo asiyetaka mjadala.

Pia anasema huo msamiati (kuteka) umerahisisishwa mno (sijaelewa maana yake!,)

Kama haitoshi waliotegemewa kuwa pumzi ya mwisho ya wananchi wanavurugana na wanapigana vikumbo kwa makovu ya kumkosa mkuu wao wa kambi waliyemtaka. Hawataki kuelewa kili kukicha ni shutuma juu ya shutuma

Katika hali hii ni nani wa kumtetea mwananchi kama si mwananchi mwenyewe?
Unasubiria mtu hasa mwanasiasa akutetee?
 
Kuna namna CHADEMA ya Lissu inaenda kuirahisishia CCM kazi. Wangeshiriki tu uchaguzi kwani wasingekosa madiwani na wabunge kadhaa.
Mpaka sasa wamesharahisisha kila kitu, Mwenyekiti alipaswa kuunganisha watu na kuhamasisha wananchi kuhakikisha "kinanuka" siku ya uchanguzi kwa yeyote ambaye angejaribu kuchezea matokeo ya kura zilizopigwa. Hii ndo ingekuwa strategy nzuri ya kuvuruga uchaguzi hizi nyingine sijui No what No which ni propaganda kama propaganda nyingine tuu
 
Back
Top Bottom