uporo wa wali ndondo
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 3,455
- 2,240
Lissu ndo anakipi kipya?Magufuli hana chochote kipya cha kuahidi, na hata akiahidi itakuwa ni uongo na hataweza kutekeleza...
Hata hiyo 2025,hawashindi. Watanzania tushawachoka,Wakatafute kazi nyingine.wajipange upya 2025
Tushawachoka?? Mmetype wangapi hapo??Hata hiyo 2025,hawashindi. Watanzania tushawachoka,Wakatafute kazi nyingine.
Hapo ameweka kitu gani chenye mashiko? JNHPP inakamilika mwakani mwezi wa sita na ataanza kupata umeme wa bwerere. Sgr ikivuka Dodoma inakamilika fasta.
Kumbuka umeme wa gas toka uanze kuzalishwa ni kama Mw 200 tu zimeongezwa kwenye grid ya taifa. Kwa hiyo usilinganishe na Mw 2100 kwa mkupuo. Mwakani mwezi juni utaanza kununua unit moja sh 100.Inatagemewa huo mradi utakamilika wakati huo, kumbuka hayo ni matarajio tu, tena ni iwapo hakutakuwa na changamoto zozote. Mradi wa SGR ilitakiwa mpaka kufikia November mwaka jana kipande cha Dar-Moro kiwe tayari. Mwaka mmoja mbele kipande hicho ni bado, huo ni mfano tu...
Kumbuka umeme wa gas toka uanze kuzalishwa ni kama Mw 200 tu zimeongezwa kwenye grid ya taifa. Kwa hiyo usilinganishe na Mw 2100 kwa mkupuo. Mwakani mwezi juni utaanza kununua unit moja sh 100...
Tumia common sense, acha kujibaraguza. Yaani hujui kuwa HEP ndio cheapest kabisa? Suala la mahitaji linaingia vipi? Hydro electric power generation ndio cheap. Ndio maana tunakuambia utanunua umeme unit sh100.Unajua unachoongea dogo, tatizo ni mkupuo wa megawati kuingizwa kwenye grid ya taifa, au ni gharama za uzalishaji wa huo umeme? Ili nijue naongea na mtu mwenye akili zake, nitajie kwanza mahitaji ya umeme ya sasa kwa nchi yetu, ni kiwango kilichopo. Isije ikawa najadili na ww jambo lolote nje ya uwezo wako.
Tumia common sense, acha kujibaraguza. Yaani hujui kuwa HEP ndio cheapest kabisa? Suala la mahitaji linaingia vipi? Hydro electric power generation ndio cheap. Ndio maana tunakuambia utanunua umeme unit sh100.
Nashangaa kuniita mimi kilaza wakati wewe ndio kilaza. Umeme ni wa maji kwa sasa lakini je kuna ziada kama itayokuwepo kipindi JNHPP ikianza kuzalisha? Kitachofanya umeme uwe rahisi ni Mw nyingi zitazozalishwa kiasi cha kuwa na ziada kubwa ambayo nyingine itauzwa nje. Kama nyingine itauzwa nje kwa nini bei isipungue?Najua ww ni kilaza hilo wala halina mjadala. Kama umeme wa maji ni cheapest, ni kwanini umeme sio cheapest hadi sasa wakati asilimia kubwa ni wa vyanzo vya maji? Nilichokuuliza ni kulingana na ulichochangia. Halafu kipi kunakifanya useme huo umeme wa maji utakuwa nafuu wakati mradi ni wa hela za mkopo, na hujui terms za malipo?
Hi wameichota Kama ilivyo kwa aliyosema Bernard Membe yakawekwa humu jamii forums Halafu waneyachukua bila hata acknowledgement kwake hiyo Ni Pragmatism Ni kosa kubwa Sana kitaaluma ku copy kitu Cha mtu bila acknowledgementIlani ya CHADEMA ni Uhuru, Haki Na Maendeleo ya Watu.
Details zake itafute usome acha porojo.
Nashangaa kuniita mimi kilaza wakati wewe ndio kilaza. Umeme ni wa maji kwa sasa lakini je kuna ziada kama itayokuwepo kipindi JNHPP ikianza kuzalisha? Kitachofanya umeme uwe rahisi ni Mw nyingi zitazozalishwa kiasi cha kuwa na ziada kubwa ambayo nyingine itauzwa nje. Kama nyingine itauzwa nje kwa nini bei isipungue?
Na nani amekuambia huu mradi ni mkopo? Au unakariri wapuuzi wenzako?
Hi wameichota Kama ilivyo kwa aliyosema Bernard Membe yakawekwa humu jamii forums Halafu waneyachukua bila hata acknowledgement kwake hiyo Ni Pragmatism Ni kosa kubwa Sana kitaaluma ku copy kitu Cha mtu bila acknowledgement
Chadema ilani yao Ni copy and paste jamii forums inabidi at the beginning waandike copied as it is from Jamii Forums
Tumia common sense, acha kujibaraguza. Yaani hujui kuwa HEP ndio cheapest kabisa? Suala la mahitaji linaingia vipi? Hydro electric power generation ndio cheap. Ndio maana tunakuambia utanunua umeme unit sh100.
We dogo una matatizo sana. Kwani serikali ikifanya mikopo ndio kusema kila mradi unajengwa kwa mkopo? Ipo inayojengwa kwa mikopo na ipo inayotumia cash direct kama JNHPP.Narudia tena, ww ni kilaza full, kabla ya huu umeme wa mafuta mazito na kidogo wa gas, bado Tanzania ilikuwa ina umeme wa juu kuliko nchi kadhaa za East Africa ambao ilikuwa wa maji. Kwani kuuza bidhaa fulani kuzalishwa hapa nchini na kuuzwa nje, ndio inaamaanisha bidhaa hiyo hapa nchini itakuwa bei ya chini? Korosho inalimwa hapa nchini na kuuzwa nje, ni watanzania wangapi wanaweza kununua kilo moja ya korosho kila mwezi? Mbolea inazalishwa hapa nchini na kiwango fulani kuuzwa nje, je bei yake ikoje kwa mkulima? Majibu baki nayo maana yataweka ujinga wako hadharani.
Ukitaka kujua huo ubongo wako umejaa matope, ni pale unapoamini huo mradi ni pesa za ndani na sio mkopo. Toka awamu hii ya tano iingie madarakani, deni la taifa limepanda kwa 15t+, na ukitazama miradi yote ya serikali mpaka sasa haijavuka hizo 15t. Sasa hapo unahitaji degree kujua kwamba huo mradi ni wa mkopo?
Deni la taifa ni himilivu. Ndio maana zaidi ya bil 600 kila mwezi zinatumika kulipa deni la taifa. Kama tungekuwa hatuwezi kulipa ingekuwa ni tatizo. Kila kitu kipo wazi mnataka uwazi gani? Imekopwa pesa kwa ajili ya Sgr toka Standard chartered bank tena kwa uwazi kabisa...HEP ni cheapest source of energy "ceteris paribus."
..uki-factor gharama za kulipa MKOPO tuliochukua, na mambo mengine, unaweza kupata hesabu tofauti.
..ndiyo maana baadhi yetu tunasisitiza kuwe na uwazi ktk mikataba ambayo serikali yetu inaingia.
cc tindo
W
We dogo una matatizo sana. Kwani serikali ikifanya mikopo ndio kusema kila mradi unajengwa kwa mkopo? Ipo inayojengwa kwa mikopo na ipo inayotumia cash direct kama JNHPP.
Unaleta mifano mfu ya korosho ambayo haihusiani na suala la umeme. Kwani bei ya korosho iliyobanguliwa hapa Tz ni sawa na bei ya Uk?
Kwanza usinitoe kwenye reli jadili mada iliyotolewa na mleta uzi. Mnarukaruka kama mnaharisha uhalo.