CHADEMA wanataka mikutano ya hadhara wakati wanatangazia dunia nzima kuwa Tanzania kuna CORONA. Hivi wazungu watawaelewa hawa watu?


Baada ya chadema wengi kuhudhuria kuuaga mwili wa hayati Magufuli, wameona waendelee tu na mikutano hivyo hivyo, au wanakukera?
 
Kuna hoja hapa ya msingi Mbowe yeye kaishapata chanjo ya Corona, na juzi alimuomba rais alifanyie haraka hili suala la Corona sasa mikusanyiko kipindi hiki siyo salama, Chadema mwaka jana walitoka kabisa bungeni kuhofia maambukizi ya Corona.
 
Huu sio muda wa mikutano,ni muda wa kazi

Wewe usiende kwenye mikutano yao bali piga kazi maana hakuna anayelazimishwa. Mkutano ni wastani wa masaa mawili kama mechi ya mpira, hao waojazana kuangalia mechi ya mpira ni wazururaji?
 
Kuna hoja hapa yq msingi Mbowe yeye kaishapata chanjo ya Corona, na juzi alimuomba rais alifanyie haraka hili suala la Corona sasa mikusanyiko kipindi hiki siyo salama, Chadema mwaka jana walitoka kabisa bungeni kuhofia maambukizi ya Corona.

Chadema wanavaa barakoa kama kinga ya Corona, ni sawa na wale wanaovaa condom ili kuendelea na tendo la ndoa, haimaanishi kwakuwa kuna ukimwi basi watu wasijamiine, ndio maana kuna condom. Ama mzee wa zamani unapata shida kwenye hili nini?
 

Kama ibilisi alivyopiga magoti wakati wa kampeni ili apate kura.
 
Huu sio muda wa mikutano,ni muda wa kazi
Ww usiende kwenye mikutano yao bali piga kazi maana hakuna anayelazimishwa. Mkutano ni wastani wa masaa mawili kama mechi ya mpira, hao waojazana kuangalia mechi ya mpira ni wazururaji?
Siasa ni sayansi sio makelele,ukianza kelele unamshitua adui,wake up ....
 
Similarly, serikali ya CCM inakataza mikutano ya hadhara wakati inaitangazia dunia kuwa Tanzania hakuna CORONA. Hivi wazungu watawaelewa hawa watu?
Hivi walizuia kabla au baada ya uwepo wa corona?
 
Similarly, serikali ya CCM inakataza mikutano ya hadhara wakati inaitangazia dunia kuwa Tanzania hakuna CORONA. Hivi wazungu watawaelewa hawa watu?
Nyani haoni kundule la mwenzie [emoji23][emoji23] haya machokoraa ya Lumumba ni basi tu, ni ma zero brains..
 
Wanacho'press' ni freedom of assembly - hii haki ikiheshimiwa then wanaofanya mikutano watachukua tahadhari.
 
Sasa kama huna uhakika kwanini unaandika hapa? Andika vitu ambavyo una uhakika navyo tu
 
Crap. Huyu aliyeleta hii mada ni mzima? Sijui kaka kuna namna ya kumfanya afanye arguments zitakazoonekana ziketoka angalao kwa mtu mwenye akili ya kawaida.
 
Umeua,naona kenge wanatoa damu masikioni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…