Kwahiyo wewe ukimuona mtu hotelini anakula unahitimisha anapenda sana kula ndio maana yupo hotelini anakula?Hili ni jukwaa la siasa, unawekaje pembeni mahaba ya kisiasa ukiwa ndani ya jukwaa hili?
Kwa mujibu wa katiba yetu, kila mtanzania anayo haki ya kukutana na wengine , freedom of assembly. Haki hiyo imekuwa ikifinywa hasa na serikali ya awamu ya tano, ambayo licha ya kuwa serikali ya kibabe na kimabavu kuliko serikali zote zilizotangulia, viongozi wake bado walijawa na hofu kubwa mno.CHADEMA Wanataka mikutano ya hadhara wakati wanatangazia dunia nzima kuwa Tanzania kuna CORONA!! Hivi wazungu watawaelewa hawa watu?
Lissu amekuwa akihojiwa na vyombo kibao vya kimataifa akisema Tanzania kuna Corona kweli kweli nyingi ya kutosha ila serikali inaficha taarifa!!! Ulaya sababu ya Corona mikutano ya hadhara ni marufuku
Hata leo hii mazishi ya Prince Phillip wa Uingereza yatakayofanyika kuanzia saa sita na nusu yatahudhuriwa na ndugu wa karibu wa familia ya Kifalme 30 tu
Sasa hata watanzania hivi CHADEMA tuwaelewaje? Mbowe mwenyewe kasema Corona Tanzania iko kibao serikali ilete chanjo yeye keshachanja!!! Halafu hapo hapo wanataka mikutano ya hadhara wanata kuua watu kwa Corona au?
MATAGA hamnazo kabisa.CHADEMA Wanataka mikutano ya hadhara wakati wanatangazia dunia nzima kuwa Tanzania kuna CORONA!! Hivi wazungu watawaelewa hawa watu?
Lissu amekuwa akihojiwa na vyombo kibao vya kimataifa akisema Tanzania kuna Corona kweli kweli nyingi ya kutosha ila serikali inaficha taarifa!!! Ulaya sababu ya Corona mikutano ya hadhara ni marufuku
Hata leo hii mazishi ya Prince Phillip wa Uingereza yatakayofanyika kuanzia saa sita na nusu yatahudhuriwa na ndugu wa karibu wa familia ya Kifalme 30 tu
Sasa hata watanzania hivi CHADEMA tuwaelewaje? Mbowe mwenyewe kasema Corona Tanzania iko kibao serikali ilete chanjo yeye keshachanja!!! Halafu hapo hapo wanataka mikutano ya hadhara wanata kuua watu kwa Corona au?
Mara hii umeshachoka kumtetea mwenda zake anaeliwa na funza? Ila Mungu fundi nyie. Imagine kina Lissu saivi wanakunywa bia ila mwingine huko saivi anachezea vitasa kutoka kwa kiongozi wa malaika orijino. Just imagine tu. Jifunzeni na ninyi kmmk zenuHapo hapo Mbowe amepata chanjo ya corona na anafanya social distance kwa Joyce Mkuya.
Sijawahi kuona kiumbe kijinga kama Chadema.
hajui legacy ni nini mataga unafikiri wanajua bila kujuzwa??Mkuu wenzako wanapigania kuhubiri legacy ya baba yenu mwendazake wewe upo JF unazurura....sasa utalipwaje.
Mkuu umekuja na marking scheme humu ndani nini?Uchama au ushabiki unafanya mtu yoyote asitoe hoja zenye mashiko
Kwahiyo wewe ukimuona mtu hotelini anakula unahitimisha anapenda sana kula ndio maana yupo hotelini anakula?
Wewe unaongea tu mwenzio alikuwa mzima kama wewe ila sasa ana kilema.Mara hii umeshachoka kumtetea mwenda zake anaeliwa na funza? Ila Mungu fundi nyie. Imagine kina Lissu saivi wanakunywa bia ila mwingine huko saivi anachezea vitasa kutoka kwa kiongozi wa malaika orijino. Just imagine tu. Jifunzeni na ninyi kmmk zenu
CHADEMA Wanataka mikutano ya hadhara wakati wanatangazia dunia nzima kuwa Tanzania kuna CORONA!! Hivi wazungu watawaelewa hawa watu?
Lissu amekuwa akihojiwa na vyombo kibao vya kimataifa akisema Tanzania kuna Corona kweli kweli nyingi ya kutosha ila serikali inaficha taarifa!!! Ulaya sababu ya Corona mikutano ya hadhara ni marufuku
Hata leo hii mazishi ya Prince Phillip wa Uingereza yatakayofanyika kuanzia saa sita na nusu yatahudhuriwa na ndugu wa karibu wa familia ya Kifalme 30 tu
Sasa hata Watanzania hivi CHADEMA tuwaelewaje? Mbowe mwenyewe kasema Corona Tanzania iko kibao serikali ilete chanjo yeye keshachanja. Halafu hapo hapo wanataka mikutano ya hadhara wanata kuua watu kwa Corona au?