Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,524
- 4,477
Na David Maphone.
Nimesoma barua ya Chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) iliyosainiwa na Ndugu Tumaini Makene akiitaka Serikali kueleza kwanini Viongozi wa CHADEMA wameshindwa kuaga mwili wa mpendwa wetu Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa.
Kwanza niseme kweli nimewashanga Sana Viongozi wa CHADEMA pamoja kuwa nafahamu wana mapungufu mengi tena mengi kweli lakini sikuwa nafahamu kuwa ni MABWEGE kiasi cha kutumia Msiba kufanya siasa za kishamba.
Wakati Watanzania na Dunia nzima wakiomboleza msiba huu mzito CHADEMA waliandaa MAPOKEZI ya mbwembwe na Shangwe kumpokea TUNDU LISSU, Jeshi la Polisi walitoa ONYO la ZUIO la mapokezi hayo lakini CHADEMA kwa JEURI yao walifanya mapokezi yale kwa maandamano makubwa kama sio busara ya vyombo vya Ulinzi na Usalama kuepusha vurugu kwenye shughuli ya Mapokezi ya CHADEMA pengine nia na mkakati ule ungetimia.
Tumewaona kina GODBLESS LEMA kupitia (Tweet) zao waliokuwa wamejipanga kupigwa virungu pale Airport wakiishangaa Polisi kwa kushindwa kuwapiga ili kutekeleza mpango wao wa hovyo kwa Nchi yetu.
UPUUZI WA BARUA YA CHADEMA.
Ratiba ya Shughuli inatolewa na Serikali na waombolezaji wote wa ndani na Nje ya Nchi waliokwenda Sambamba na RATIBA wakiwemo viongozi wa vyama vya Siasa walifika kwa wakati na kushiriki kwenye IBADA hiyo muhimu.
Sasa wanapo ibuka watu na kituko cha kukosa fursa ya kufanya siasa pale Uwanja wa Uhuru wanatuletea Utamaduni mpya ambao hatujauzoea Watanzania.
Mi nilikuwepo eneo la tukio Wamekuja wamechelewa, Mhe Rais Magufuli alikuwa anatoa hotuba tayari alafu uwanja umejaa then wao wanataka waingie na magari yao uwanjani tena lango analoingilia Rais
Wakaambiwa washuke watembee kwa miguu wakagoma kabisa sijui walikuwa wamepanga kufanya nini au walikuwa na nia gani OVU kwa Mhe Rais wetu.
CHADEMA wanashinda hata kutambua kuwa mwaliko wa Shughuli ile ulitolewa na ITIFAKI na sio Ofisi ya Msajili wa vyama, kilichofanya na MSAJILI wa vyama ni kusaidia Taarifa hiyo kufika kwa vyama vyote ikiwemo CHADEMA kwa wakati.
Msajili wa vyama aliwatumia mwaliko vyama vyote na RATIBA ya Shughuli nzima cha kushangaza vyama vyote walifika kwa wakati kwanini wao wachelewe na kukataa utaratibu wa kuingia Uwanjani