Lubebenamawe
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 1,973
- 2,239
Chadema kimekuwa kimejinasibu kuwa ni chama chenye wafuasi wengi. Na wakati mwingine kimekuwa kikijitangaza kuwa kina wafuasi kuliko chama kongwe nchini na barani Afrika ukitoa ANC cha Afrika Kusini na MPLA cha Angola mnaweza mkanirekebisha wajuvi wa historia.
Hivi karibuni viongozi wa Chadema wamekuwa wakijitanabaisha kutetea chanjo na wengine kutoa rai kuwa chanjo ingekuwa si swala la hiari. Katika kufuatilia kauli za viongozi wa chadema kila kiongozi akisimama hutetea chanjo.
Hali kadhalika idadi kubwa ya wafuasi wa chadema mitandaoni wameonekana kumpinga Askofu Gwajima, na kutoa kejeli dhidi yake. Wengine wameenda mbali na kuwakejeli kuwa MATAGA walichotwa akili zao na Hayati Dr JP Magufuli.
Tunajua Chadema hawawezi pinga chanjo kwa sababu ni agenda ya kimagharibi ambako ndiko chadema imekuwa ikipata msaada.
Je utetezi wa chanjo wa Chadema ni wa kinafiki. Chadema inawachama zaidi ya milioni 8 kwa mujibu wa takwimu zao. Basi kwa upepo wa kutetea chanjo nilikuwa naamini kuwa angalao robo ya wanachama wangekuwa wamekimbilia chanjo na kupelekea kuwa uhaba wa chanjo.
Ajabu ni kwamba katika chanjo 1m ni chanjo takribani 300,000 tu zimeshindika kumalizika.
Chadema acheni unafiki, onyesheni kwa vitendo mnacho kiamini. Mnaamini chanjo ni salama basi nendeni mka chanjo.