#COVID19 CHADEMA wanatetea ajabu hata wao hawachanji

Tupo kwenye maombi ya mwenyekiti!pia chanjo ni hiari.
 
Kwa hili la chanjo limefanya tuwaze hivi
1. Aidha wanchama wa cdm wako chini ya laki 3
2. Aidha huwa wanaitikia usoni manenonya Mwenyekiti na kuyakataa moyoni. Hii ni kusema hata kwenye kura hawakipigii chama.
Wana kauli ile kula kwa Mbowe kulala ccm.
3. Aidha hata wao hawakubaliani na chanjo hata Mbowe asemaje kimsingi wako kwa ideal za Mqgu na ni washabiki wake kwa mengi.

Sleep mode
 
Wakuu swala la chanjo ni ishu ya uhiari. Na siyo lazima, chadema haiwezi kuwalazimisha wanachama wake. Kwa ulazima kwenda kuchanjwa,
Ili hali swala ilo ni la kila mmoja watu. Unless otherwise ingekuwa ni agenda la Taifa kwa ujumla au swala la kichama.
Ivyo basi itoshe kusema ya kwamba viongozi wetu tuliowapa dhamana juu ya swala hili wameshindwa kuwa-converse wananchi juu ya chanjo

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…