PreGE2025 CHADEMA wasema Muliro alidanganya, Mnyika atoa ushahidi jinsi polisi walivyowakamata viongozi na wanachama wa CHADEMA

PreGE2025 CHADEMA wasema Muliro alidanganya, Mnyika atoa ushahidi jinsi polisi walivyowakamata viongozi na wanachama wa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
"Tutaonesha kwa muhutasari matukio ya msingi yenye kuthibitisha kwamba jeshi la polisi lilikamata viongozi na wanachama wa CHADEMA, lilihusika kupiga viongozi na wanachama wa CHADEMA, lilihusika kufanya uharamia wa kudhalilisha utu wa viongozi na wanachama wa CHADEMA, na baada ya kuonesha matukio haya tutaeleza hatua ambazo chama tutachukua" - Katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA, John Mnyika.

Pia soma Muliro awakana Makada wa CHADEMA wanaodai kuteswa, kutupwa porini


 
Siku nyingine msiende kusikiliza kesi bila silaha maana kwasasa mshindani wenu anatumika kwa silaha. Mi nashauri sasa muamze kumiliki silaha ili akija kukukamata unamwaga mavi na kuwatoboa kama hamza alivyo wanyoosha. Huo ndio utakuwa mwanzo wa kuheshimika
 
Huu Ndiyo muda sahihi wa kukinukisha ili iwe kama GAZA.Maana maharamia wa ccm wamezidi kuwatesa watanzania
 
Mshaurini Mhe. JJ Mnyika akafiche mbali huo ushahidi wake hata kama itakuwa kwenye email zao za Siri Kwa maana Bwana Murilo J Murilo hachelewi kutuma kikosi Kazi chake kuja kuizingira hiyo ofisi yenu na kujaribu kuutafuta huo ushahidi na kuupoteza

Mwaka mgumu huu 😜
 
BBC si waje wafanye documentary kama ya Kenya wamuumbue huyu bibi na polisi wake.

Sasa hivi dunia nzima inajua kuwa Ruto alitumia jeshi kuua raia kwa risasi za moto.
 
Mshaurini Mhe. JJ Mnyika akafiche mbali huo ushahidi wake hata kama itakuwa kwenye email zao za Siri Kwa maana Bwana Murilo J Murilo hachelewi kutuma kikosi Kazi chake kuja kuizingira hiyo ofisi yenu na kujaribu kuutafuta huo ushahidi na kuupoteza

Mwaka mgumu huu 😜
ZIkae mtandaoni.
Hawezi kuzifuta.
 
Ushahidi dhalimu wa Jeshi la polisi ni mwingi tu, muda ukifika CDM itaanika kila kitu.

Lazima wanapanga kuja kupekua nyumbani kwa Katibu mkuu ili wabahatishe chochote.... google drive imeshahifadhiwa huko
 
Hii ni hatari wajomba mi nimeogppa yaaani huu ni unyama
 
ZIkae mtandaoni.
Hawezi kuzifuta.
Probably!

Ama kama ana device ya Siri ya kuhifadhi nyaraka za Siri afanye hivyo

Huenda baada ya miaka 20 ijayo, huo ushahidi ukatumika kumweka matatani Bwana Murilo

Bahati nzuri yeye hana kinga ya kutokushtakiwa
 
mnyika iabidi akamatwe ateswe mpaka ataje nani anamtuma kutengeneza ushahidi wa uongo yaaani mpaka maji aite mma
 
Polisi hamuwezi kuzuia mabadiliko

Majira mapya aliyaanzisha magufuli

Mnajisumbua tu
 
Back
Top Bottom