The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Hizi ni credible details, zihifadhiwe for further action
Video za kutengeneza hizo za Artifical IntelligenceSitashangaa polisi wetu wakikataa pia ushahidi wa Video
ZIkae mtandaoni.Mshaurini Mhe. JJ Mnyika akafiche mbali huo ushahidi wake hata kama itakuwa kwenye email zao za Siri Kwa maana Bwana Murilo J Murilo hachelewi kutuma kikosi Kazi chake kuja kuizingira hiyo ofisi yenu na kujaribu kuutafuta huo ushahidi na kuupoteza
Mwaka mgumu huu 😜
tatizo siyo mtanzania hana uchungu na sisiNilisikiliza mahijiano ya Murilo na BBC nikajisemea huyu jamaa ni zaidi ya muongo
Probably!ZIkae mtandaoni.
Hawezi kuzifuta.
tangu ufahamu neno Artifical Intelligence basi lawama zote huko,kuna wakati basi tumia na ya kuzaliwa uonekane mtuVideo za kutengeneza hizo za Artifical Intelligence