PreGE2025 CHADEMA wasema Muliro alidanganya, Mnyika atoa ushahidi jinsi polisi walivyowakamata viongozi na wanachama wa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Huu Ndiyo muda sahihi wa kukinukisha ili iwe kama GAZA.Maana maharamia wa ccm wamezidi kuwatesa watanzania
Keyboard warrior hujaonekana mahakamani kisutu hata mara maja ,vipi?
 
Inapendeza sana sasa kuna dalili nzuri naziona tuliyoyasema kipindi cha nyuma chama kutumia teknolojia kutunza kumbukumbu yanafanyiwa kazi.


Tutawakumbusha tu siku moja maana jinai haifi.
 
Video za kutengeneza hizo za Artifical Intelligence
Polisi wameumiza watu wengi huo ndo ukweli, wamevunja watu, wamejeruhi watu, wameacha mbwa wao wajeruhi na kuumiza watu wakati hawakuwa wakifanya uhalifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…