Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
ELEWA, waathirika wakubwa wa utawala wa Rais Magufuli sio CHADEMA au vyama vya upinzani, bali waathirika wakubwa ni kikundi fulani ndani ya CCM, ambacho kinajulikana kwa sasa kama Walamba asali/WAHUNI. Hayati Magufuli aliwahi kusema kuna kikundi fulani ndani ya CCM ambacho hakipo tayari kwa mabadiliko aliyokuwa akiyafanya kwa sababu mabadiliko hayo yaliathiri maslahi yao kwa kiwango cha kutisha.
KWA TASWIRA YA SASA, hapo juzi alisikika bwana mmoja wa upinzani akiongea na Mzee Kikwete mara tu baada ya mwamba kufariki ili arejee. Je, suala ni kumtafuta mama kwanini apitie kwa Kikwete? Na baada ya kurejea, tunashuhudia watu hawa wakiwa na ajenda ile ile sawa na kikundi la Walamba asali ya kuuchafua uongozi uliotukuka wa Hayati Magufuli.
Na ikiwa huyu bwana wa Msoga ndiye kiongozi wa kikundi hiki na ni mtu wa karibu wa kiongozi wa sasa, na pia ni mshirika wa wanaojiita wapinzani, basi dhamira yao ni moja tu. Kwa hiyo, kama Mtanzania, ulichobakiwa nacho ni kuombea nchi na kuishi kwa misingi ya kizalendo.