CHADEMA wasipojiangalia watakuwa kama TAWI la Tanganyika Law Society, nawaona Marais wastaafu Wawili wa TLS Uongozini na Mawakili kibao!

Natoa tu angalizo Maana hata ODM ya Kenya ilijiegemeza sana Kwa Mawakili na Wanasheria ila sasa imekuwa Mdebwedo kama Matokeo ya huo ubia

Happy New Year Tundu Lisu

Ahsanteni sana πŸ˜„
Ushauri wako kwa CCM ni upi maana Marais wote wa vyama vya kitaaluma ni wana CCM? Wahandisi, Wakunga, Manesi, Madaktari, Wafamasia, Wasanifu majengo, Wafugaji, Wahadhiri wa vyuo vikuu nk. Wote hao ni Wana CCM.
 
Ushauri wako kwa CCM ni upi maana Marais wote wa vyama vya kitaaluma ni wana CCM? Wahandisi, Wakunga, Manesi, Madaktari, Wafamasia, Wasanifu majengo, Wafugaji, Wahadhiri wa vyuo vikuu nk. Wote hao ni Wana CCM.
Ndio sababu CCM ni shina

Umeelezea vizuri sana πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ht shuleni wanafunzi wa HGL ni vilaza kazi yako ubishi. Sheria nayo ni fani? Wanasheria wanazalisha nini zaidi ya migogoro? Ni watu wenye IQ ndg sana. Wape ht hesabu ya darasa la 4. Wana igoism za kipuuzi, arrogance wakati ni maskini na hawana wanachozalishia nchi zaidi ya migogoro. Hyo fani ya wanawake malaya
 
Natoa tu angalizo Maana hata ODM ya Kenya ilijiegemeza sana Kwa Mawakili na Wanasheria ila sasa imekuwa Mdebwedo kama Matokeo ya huo ubia

Happy New Year Tundu Lisu

Ahsanteni sana πŸ˜„
Umeandika vizuri saaaana, ila umekosea saaaana Heading.

Ilitakiwa useme TLS iingalie isiwe tawi la CHADEMA, maana imetoa marais wawili.

Ungekuwa umesoma philosophy ,hapo inahusiana na LOGIC, so kwa kichwa Cha habari logic inakataa 🀣🀣🀣.

Ni sawasawa na Kilikuu ibebe KATAPILA πŸ€£πŸ€£πŸ˜…πŸ€£πŸ˜… ,

Ila katapila inaweza kubeba Kilikuu.CHADEMA ni kubwa kuliko TLS.

unapojenga hoja tengeneza mantiki, post Yako ni MATUMIZI MABAYA YA BUNDLE NA AKILI πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸš΄πŸš΄πŸ€£πŸ˜…πŸ€£πŸ˜…
 
Hao wote uliowataja umewahi kusikia wakipigania haki za binadamu? Hao pia wanasubiri kutetewa na wanasheria!
 
Nyie mnaojenga barabara mwezi huu zinaharibika mwezi ujao ndo mna akili?
 
Mawazo yako ni kama yangu.
Hawa Chadema, they are too superstitious kuhusu hawa mawakili.
Wana- idolize mawakili
 
Shuleni ulisomea ujinga? Kwa hiyo ukijua hesabu ndiyo kuwa na IQ kubwa?
 
Pale unapomshauri X wako aliyekuumiza, X anapaswa kufanya the opposite, huwezi Mtakia mema hata kidogo!
 
Hao Manesi wanalipwa Milioni ngapi kwa mwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…