johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #21
Akili kila mtu anazoWarioba hana akili? Lissu hana akili?
Kweli wewe ni kilaza
Labda maarifa 😄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili kila mtu anazoWarioba hana akili? Lissu hana akili?
Kweli wewe ni kilaza
Ushauri wako kwa CCM ni upi maana Marais wote wa vyama vya kitaaluma ni wana CCM? Wahandisi, Wakunga, Manesi, Madaktari, Wafamasia, Wasanifu majengo, Wafugaji, Wahadhiri wa vyuo vikuu nk. Wote hao ni Wana CCM.Natoa tu angalizo Maana hata ODM ya Kenya ilijiegemeza sana Kwa Mawakili na Wanasheria ila sasa imekuwa Mdebwedo kama Matokeo ya huo ubia
Happy New Year Tundu Lisu
Ahsanteni sana 😄
Ndio sababu CCM ni shinaUshauri wako kwa CCM ni upi maana Marais wote wa vyama vya kitaaluma ni wana CCM? Wahandisi, Wakunga, Manesi, Madaktari, Wafamasia, Wasanifu majengo, Wafugaji, Wahadhiri wa vyuo vikuu nk. Wote hao ni Wana CCM.
Ht shuleni wanafunzi wa HGL ni vilaza kazi yako ubishi. Sheria nayo ni fani? Wanasheria wanazalisha nini zaidi ya migogoro? Ni watu wenye IQ ndg sana. Wape ht hesabu ya darasa la 4. Wana igoism za kipuuzi, arrogance wakati ni maskini na hawana wanachozalishia nchi zaidi ya migogoro. Hyo fani ya wanawake malayaKuna Taasisi yenye watu wenye akili nchi hii kama TLS?
Weka Taasisi zote za nchi hii za Serikali na zisizo za Serikali hakuna Taasisi nchi hii yenye watu wenye akili na wanaojitambua kama TLS.
Baada ya TLS wanafuata JWTZ ingawa nao wanatakiwa kujirekebisha kidogo.
Umeandika vizuri saaaana, ila umekosea saaaana Heading.Natoa tu angalizo Maana hata ODM ya Kenya ilijiegemeza sana Kwa Mawakili na Wanasheria ila sasa imekuwa Mdebwedo kama Matokeo ya huo ubia
Happy New Year Tundu Lisu
Ahsanteni sana 😄
Hao wote uliowataja umewahi kusikia wakipigania haki za binadamu? Hao pia wanasubiri kutetewa na wanasheria!Wale vilaza wa HKL na HGL ndio unaita wenye akili mkuu?😂
Ushawahi sikia Vyama vya Ma enginia
Madaktari
Manesi
Ma physicians
Ma Neurologist
Na Astronaut
Nk..
Ni kwamba TLS imeamua kuwa Chama cha harakati lakini kuhusu Akili, wapo wengi tu wenye akili nyingi kuwazidi.
Nyie mnaojenga barabara mwezi huu zinaharibika mwezi ujao ndo mna akili?Ht shuleni wanafunzi wa HGL ni vilaza kazi yako ubishi. Sheria nayo ni fani? Wanasheria wanazalisha nini zaidi ya migogoro? Ni watu wenye IQ ndg sana. Wape ht hesabu ya darasa la 4. Wana igoism za kipuuzi, arrogance wakati ni maskini na hawana wanachozalishia nchi zaidi ya migogoro. Hyo fani ya wanawake malaya
Shuleni ulisomea ujinga? Kwa hiyo ukijua hesabu ndiyo kuwa na IQ kubwa?Ht shuleni wanafunzi wa HGL ni vilaza kazi yako ubishi. Sheria nayo ni fani? Wanasheria wanazalisha nini zaidi ya migogoro? Ni watu wenye IQ ndg sana. Wape ht hesabu ya darasa la 4. Wana igoism za kipuuzi, arrogance wakati ni maskini na hawana wanachozalishia nchi zaidi ya migogoro. Hyo fani ya wanawake malaya
Shina la kutishia wanataaluma wasio na uwezo wa kutetea haki zao?Ndio sababu CCM ni shina
Umeelezea vizuri sana 😂😂
Nshala ni kilaza ukimlinganisha na nani? jamaa ni Phd graduate toka Havard.Eti kilaza Nshala ndio mwanasheria mkuu wa chama, hajui hata katiba ya chadema, mbowe huko aliko atakuwa anachekea chooni jinsi chama kinavyoendeshwa kihuni
Bado mnaugulia maumivu ndezi nyie.Natoa tu angalizo Maana hata ODM ya Kenya ilijiegemeza sana Kwa Mawakili na Wanasheria ila sasa imekuwa Mdebwedo kama Matokeo ya huo ubia
Happy New Year Tundu Lisu
Ahsanteni sana 😄
Sasa wewe utakuwa mkia!Eti kilaza Nshala ndio mwanasheria mkuu wa chama, hajui hata katiba ya chadema, mbowe huko aliko atakuwa anachekea chooni jinsi chama kinavyoendeshwa kihuni
Bado hamjaamini matokeoEti kilaza Nshala ndio mwanasheria mkuu wa chama, hajui hata katiba ya chadema, mbowe huko aliko atakuwa anachekea chooni jinsi chama kinavyoendeshwa kihuni
Wanasheria walioko serikalini ambao ni maccm ndiyo hawana akili ndiyo maana wanaingia mikataba ya kimangungo.Wameifanyia nn nchi hii? Kwanza hakuna mwanasheria mwenye akili.
Hao Manesi wanalipwa Milioni ngapi kwa mweziWale vilaza wa HKL na HGL ndio unaita wenye akili mkuu?😂
Ushawahi sikia Vyama vya Ma enginia
Madaktari
Manesi
Ma physicians
Ma Neurologist
Na Astronaut
Nk..
Ni kwamba TLS imeamua kuwa Chama cha harakati lakini kuhusu Akili, wapo wengi tu wenye akili nyingi kuwazidi.