T tripof JF-Expert Member Joined Apr 2, 2024 Posts 829 Reaction score 1,120 Jan 23, 2025 #81 imhotep said: Nimeanza kulewa tokea asubuhi kusherehekea ushindi wa LISSU na HECHE na wote waliochaguliwa. Nasubiri kwa hamu Dr.Slaa arejee rasmi CHADEMA tuanze mapambano✌️✌️ Click to expand... Mkimrudisha Dr Slaa basi namuombea Halima Mdee na wenzie warudishwe pia ila kwa masharti wakiomba ili kujenga chama. Siasa is dynamic
imhotep said: Nimeanza kulewa tokea asubuhi kusherehekea ushindi wa LISSU na HECHE na wote waliochaguliwa. Nasubiri kwa hamu Dr.Slaa arejee rasmi CHADEMA tuanze mapambano✌️✌️ Click to expand... Mkimrudisha Dr Slaa basi namuombea Halima Mdee na wenzie warudishwe pia ila kwa masharti wakiomba ili kujenga chama. Siasa is dynamic
Fortilo JF-Expert Member Joined Apr 10, 2012 Posts 5,807 Reaction score 17,416 Jan 23, 2025 #82 boaz mwalwayo said: ERB huwezi fananisha na TLS kwa muundo wa vyama na utendaji kazi wao Heshimu TLS Click to expand... TLS wamewahi fanya kitu gani cha maana mkuu? Zaid ya blabla , the MPs and Politicians wannabe! Sasa mtu kama Mwabukusi ana u smart gani seriously?
boaz mwalwayo said: ERB huwezi fananisha na TLS kwa muundo wa vyama na utendaji kazi wao Heshimu TLS Click to expand... TLS wamewahi fanya kitu gani cha maana mkuu? Zaid ya blabla , the MPs and Politicians wannabe! Sasa mtu kama Mwabukusi ana u smart gani seriously?
Fortilo JF-Expert Member Joined Apr 10, 2012 Posts 5,807 Reaction score 17,416 Jan 23, 2025 #83 cencer09 said: Kuwa na akili inategemea definition yako, wengine kuiba ndio akili, kuteka na kuua akili, uchawa akili. Click to expand... Hapana, akili ni outcomes ya kile unachofanya ukiwa huru... Sasa TLS wamewahi zalisha kitu gani nchi hii... blabla republic
cencer09 said: Kuwa na akili inategemea definition yako, wengine kuiba ndio akili, kuteka na kuua akili, uchawa akili. Click to expand... Hapana, akili ni outcomes ya kile unachofanya ukiwa huru... Sasa TLS wamewahi zalisha kitu gani nchi hii... blabla republic
C cencer09 JF-Expert Member Joined Oct 19, 2012 Posts 4,554 Reaction score 2,732 Jan 23, 2025 #84 Fortilo said: Hapana, akili ni outcomes ya kile unachofanya ukiwa huru... Sasa TLS wamewahi zalisha kitu gani nchi hii... blabla republic Click to expand... Una matatizo upstairs kwa hiyo akili ni kuzalisha vitu tangible tu? Kwanza umeshindwa kutofautisha kati profession na akili pia watoa huduma hawana akili? Utakuwa CCM
Fortilo said: Hapana, akili ni outcomes ya kile unachofanya ukiwa huru... Sasa TLS wamewahi zalisha kitu gani nchi hii... blabla republic Click to expand... Una matatizo upstairs kwa hiyo akili ni kuzalisha vitu tangible tu? Kwanza umeshindwa kutofautisha kati profession na akili pia watoa huduma hawana akili? Utakuwa CCM
Nandagala One JF-Expert Member Joined Aug 19, 2020 Posts 1,913 Reaction score 2,286 Jan 24, 2025 #85 johnthebaptist said: Tanganyika Law Society iko kabla ya Uhuru Happy New Year 😄 Click to expand... LOGIC ni ukubwa , nguvu national wise, hautegemei kipi Cha kwanza kuanzishwa!!!🤔🤔🤣🤣😅😅
johnthebaptist said: Tanganyika Law Society iko kabla ya Uhuru Happy New Year 😄 Click to expand... LOGIC ni ukubwa , nguvu national wise, hautegemei kipi Cha kwanza kuanzishwa!!!🤔🤔🤣🤣😅😅