Mkimrudisha Dr Slaa basi namuombea Halima Mdee na wenzie warudishwe pia ila kwa masharti wakiomba ili kujenga chama. Siasa is dynamicNimeanza kulewa tokea asubuhi kusherehekea ushindi wa LISSU na HECHE na wote waliochaguliwa.
Nasubiri kwa hamu Dr.Slaa arejee rasmi CHADEMA tuanze mapambano✌️✌️